
lirik lagu mch. abiudi misholi - twende juu sayuni
[instrumental intro]
[pre~chorus]
twende juu sayuni, twende juu sayuni, twende juu sayuni, mji wake bwana, twende
twende juu sayuni, (mama), twende juu sayuni, (baba yangu), twende juu sayuni (mji), mji wake bwana
[chorus repeat]
twende juu sayuni, twende juu sayuni, twende juu sayuni, mji wake bwana, twende
twende juu sayuni, (mama), twende juu sayuni, (baba yangu), twende juu sayuni (mji), mji wake bwana
[interlude]
wimbo huu, nimekuja kuwak~mbusha wa tanzania na watu wote duniani, ya kwamba tuna safari mbili; iko safari moja, ambayo wenyeji wao ni jehanamu ya moto, na iko safari ya pili, ambayo wenyeji wetu ni mbinguni
dunia sasa imeharibika, hata injili ya siku za mwisho imeharibika, na watu wеngi wamekwisha acha kufundishwa mambo ya msingi, yatakayo wasaidia kuurithi mji wa milele na makao yеtu ya milele
wamebaki na injili za mafanikio, injili za baraka, hku watu wamejaa tabia mbaya
wana ndoa nyingi, uongo, wizi, tamaa, wivu, na injili yao imekuwa ni k~miliki dunia na kutawala na kujenga vitu vingi vya thamani, na kusahau yale mambo ya msingi ndani ya mioyo yao, nimek~mbuka wale wazee wa zamani, walipokuwa wakiziimba nyimbo hizi, wakijua ya kwamba j~pokuwa wanaishi duniani, lakini siku moja watafika juu sayuni, nataka nikuambie mama yangu na baba yangu, unaye sikiliza nyimbo huu sasa saa hii, hapo ulipo, kama ulisahau na unaishi maisha ya mchanganyo, ujue ya kwamba yesu kristo si muda mrefu atarudi, atanyakua watu wake, walio watakatifu, atapaa ataenda nao juu mbinguni, hebu ngoja nikualike kwenye wimbo huu, ya kwamba twende juu sayuni, uwe tayari miongoni mwa maelfu, watakao nyakuliwa kwenda mbinguni, siku ile bwana yesu akija, nawe upae kwenda juu sayuni, kwa jina la yesu
[chorus]
twende juu sayuni, twende juu sayuni, twende juu sayuni, mji wake bwana, twende
twende juu sayuni, (mama), twende juu sayuni, (baba yangu), twende juu sayuni (mji), mji wake bwana
[verse 1: abiudi misholi]
usishikwe na dunia, usishikwe nazo dhambi
tubu hayo yote, tuende sayuni, twende
[pre~chorus]
twende juu sayuni, (baba), twende juu sayuni, (halleluyah), twende juu sayuni, mji wake bwana
[verse 2]
twende makahaba, twende na wachawi, muache dhambi zenu, twende kwa bwana, twende
[chorus]
twende juu sayuni, twende juu sayuni,, twende juu sayuni, mji wake bwana
[verse 3]
twende na wa~kongo, twende na rwanda, twende na wa~kenya, mji wake bwana, twende
[chorus]
twende juu sayuni, twende juu sayuni, twende juu sayuni, mji wake bwana
[verse 4]
biashara zisikusonge, mambo ya dunia, yakakufanya na kukuzuia, usiende kwa baba, twende
[chorus]
twende juu sayuni, twende juu sayuni, twende juu sayuni, mji wake bwana
[verse 4]
ah…, wakina baba, nawaombea watoto wetu, ‘ah, twende juu sayuni, mji wake bwana, twende
[chorus]
twende juu sayuni, twende juu sayuni, twende juu sayuni, mji wake bwana
[post~chorus]
tutaimba halleluyah, tutaimba halleluyah, tutaimba halleluyah, milele na bwana, tutaimba halleluyah,tutaimba halleluyah, tutaimba halleluyah, milele na bwana, tutaimba halleluyah, tutaimba halleluyah, tutaimba halleluyah, milele na bwana
[outro]
tutaimba halleluyah, tutaimba halleluyah, tutaimba halleluyah, milele na bwana
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu luke bower (christian) - halfway to your heart
- lirik lagu gpc - shooter
- lirik lagu amui (rus) - echoes of nowhere
- lirik lagu lboy bsc - bouřka
- lirik lagu röya - gedəcəyəm
- lirik lagu marina - how to be a heartbreaker (kat krazy remix)
- lirik lagu fabro & luana (arg) - cursi (acoustic)
- lirik lagu hiraku taylor - legend jojo
- lirik lagu keeqaid - tequila*
- lirik lagu dj trippie flameboy - $pace$hip