
lirik lagu mch. abiudi misholi - moyo wangu wazi
[intro]
biblia inasema katika methali 28 na ule mstari wa 13, afichaye dhambi zake hatafanikiwa, bali yule anaye zitubu atapata rehema
ujue moyo wako uko wazi mbele za bwana
bwana mungu akusaidie, bwana mungu anisaidie, halleluyah
[pre~chorus]
moyo w~ngu u wazi, moyo w~ngu u wazi
nipo hapa, niguse bwana, moyo w~ngu wazi, moyo w~ngu u wazi, moyo w~ngu u wazi, moyo w~ngu u wazi, nipo hapa, niguse bwana, moyo w~ngu wazi
[verse 1]
eh, nafsi yangu hebu nisikilize, kwa nini ujifiche mbele za mungu?
upo hapa, lazima ujue, moyo w~ngu wazi
uende wapi eh, ‘nafsi yangu, ujiepushe na macho ya mungu?
iwe gizani, uzame baharini, bado mungu atakuona
wachungaji wenzangu nanyi nisikieni, kazi ya mungu ifanyeni kwa ukweli, yesu amesema leo niwak~mbushe, yu aja na mawingu
waimbaji rafiki nanyi nisikieni, ‘viburi, tamaa, mashindano, acheni
mbinguni wapenzi hatuendi kwa umaarufu, ni utakatifu tu, moyo w~ngu u wazi
[chorus]
moyo w~ngu u wazi, (moyo w~ngu), moyo w~ngu u wazi, (nipo hapa), nipo hapa, niguse bwana, moyo w~ngu wazi, moyo w~ngu u wazi, (moyo w~ngu, baba), moyo w~ngu u wazi (nipo hapa), nipo hapa, niguse bwana, moyo w~ngu wazi
[interlude: abiudi misholi]
ndugu msikilizaji unaye nisikiliza sehemu yeyote ulipo, unaweza ukawa unafanya mambo mengi mabaya, kana kwamba mungu hakuoni na wala hakutambui, lakini nataka niseme kwamba, hapo ulipo na dakika hii unapo sikia, mungu yupo anakutazama, moyo wako ni wazi, na wala huwezi k~mtisha mungu kwa lolote, unaweza ukawa umejificha kanisani (moyo w~ngu wazi), na watu wengi wanadhani kwamba unaendelea mbele, k~mbe ulishakwisha iacha njia, nataka niseme neno moja (moyo w~ngu u wazi), ya kwamba si muda mrefu tutafika katika bonde la kukata maneno, na habari ya kila mtu itajulikana, ya kwamba alikuwa wa mungu au la (nipo hapa), unyakuo ni bonde la kukata maneno, hapo yesu kristo atakapo kuja, akawachukua watu wake, na wewe utakapo baki, ndipo aibu yako itakapo onekana, k~mbe mchungaji ulikuwa hujaokoka, k~mbe binti ulikuwa hujaokoka, lakini abiudi leo nimeimba, mi moyo w~ngu ni wazi
sijui kama wewe, moyo wako umeuficha (moyo w~ngu wazi), mi nimemuambia mungu niko hapa, niguse bwana, nifinyange, nitengeneze (nipo hapa), utaendelea na ujanja, janja mpaka lini, unatenda kwa siri (niguse bwana), leo bwana kaniambia ni kuambie ‘moyo wako ni wazi (moyo w~ngu wazi), lakini sijaja kwa ajili ya kukuhuk~mu, lla nimekuja ili nikuambie ya kwamba, uirekebishe njia yako, maana bwana anakuja na mawingu, natamani siku atakaporudi, sote tukamuone na k~mlaki, katika jina la yesu mungu akubariki, mungu akutetee, mungu akufinyange upya, kwa damu ya yesu kristo, amen
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu lil melee - camo
- lirik lagu nive - demno
- lirik lagu ankvil - решено
- lirik lagu back by 9ine - ramdam
- lirik lagu xtsy*, rexv2 & ivvys - brakes
- lirik lagu şiir! - zırdeli
- lirik lagu pierre-yves roy-desmarais - vidéoconférence
- lirik lagu darby o'trill, sagan ummo & shaggytheairhead - worldwide juggin
- lirik lagu maiara & maraisa - ai que vontade (ao vivo)
- lirik lagu fish eat cat - houseparty pushover