lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mc kibz - dunda

Loading...

intro:

nikicheki vidondo dondosa
roho yangu inaniumauma

(chorus:)

ukidunda, dunda , dunda
dunda, dunda, dunda
dunda, dunda, dunda
dunda, dunda, dunda
ninapenda hiyo bunda
ukidunda, dunda, dunda
napenda hiyo bunda
ukidunda, dunda, dunda

(verse 1:)

nilimcheki pale nyuma
jeans zake zilifura
rasa kubwa kama nyumba
ni nyama na mafuta
huyu dame atanijua
champagne tutakunywa
bartender leta chupa
nitamnyesha ka mvua
roho yangu inaniuma
rasa yako inaniua…
ni nini unakula?
mangwashe na manduma?
juu chini ukiruka
polepole utanistua
niko ngumu kama chuma
suruali nitapasua

(refrain:)

ukidunda, dunda, dunda
dunda, dunda, dunda
dunda, dunda, dunda
dunda, dunda, dunda

(verse 2:)

hiyo rasa nilinusa
ilinukia ka maua
maishani nimetafuta
rasa moto kama jua
nitamhepesha kama duma
usain bolt huvae puma
aubameyang signal iduna
matata sina kama pumba
vile utapanda, utavuna
sitaki wasichana ka mfupa
lazima wakule chips funga
kung’ang’ana na hiyo scooter
jeans zake zilifura
rasa kubwa kama nyumba
niko ngumu kama chuma
suruali nitapasua

(chorus:)

ukidunda, dunda , dunda
dunda, dunda, dunda
dunda, dunda, dunda
dunda, dunda, dunda
ninapenda hiyo bunda
ukidunda, dunda, dunda
napenda hiyo bunda
ukidunda, dunda, dunda

(verse 3:)

tingiza mrembo
mimi si msee wa maneno
haraka haraka haina baraka
pole pole ni mwendo
tingiza mrembo
mimi si msee wa maneno
haraka haraka haina baraka
pole pole ni mwendo

(chorus:)

ukidunda, dunda , dunda
dunda, dunda, dunda
dunda, dunda, dunda
dunda, dunda, dunda
ninapenda hiyo bunda
ukidunda, dunda, dunda
napenda hiyo bunda
ukidunda, dunda, dunda

dunda!

dunda…


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...