lirik lagu mbuzi gang - bambi (feat. fik fameica)
h what? fresh ganger
mbuzi what? mbuzi ganger
zimbaka zimbaka zizizi
ana sura ya binti na akili zii
ni kiziwi ju akimpa ndiziski
sitishiki hii ni kali timiki
nikubambe inibambe tubambe, sii
zimbaka zimbaka zizizi
ana sura ya binti na akili zii
ni kiziwi ju akimpa ndiziski
sitishiki hii ni kali timiki
ka haikubambi hainibambi, haitubambi si
ka si ndizi matoke na nanasi
ka si mbuzi basi mtakuna n~z~
ka si nyolo hatutaki ma hennessy
si lazima shower nikispit nakuosha for closure
man i have a thing for wabosha
hainibambi can you bubble bambee
misitu aliyah can you handle dhambi
niko na ray of hope wapi amber rose
ni mkamba so alidai kulamba dose
sina kamba kutie na siezi loose
loose note hii ni suicide note
take notice incase mi nishushe raw
take notice incase nikushushe roho
take moti incase ulale fofofo
kuna b~tches chiwawa na kokoko
zimbaka zimbaka zizizi
ana sura ya binti na akili zii
ni kiziwi ju akimpa ndiziski
sitishiki hii ni kali timiki
ka haikubambi hainibambi, haitubambi si
ka si ndizi matoke na nanasi
ka si mbuzi basi mtakuna n~z~
ka si nyolo hatutaki ma hennessy
huwezi nidefeat ju funza ilishanifunza
chunga fan wako akishanitii atakutoka
drip ni ya kukata na shoka si nimedunga
ex ananidai na mimi na sijaunga
ka hunibambi siwezi waste dhambi
usikuje form ka unajua we huchangi
ka hujajipanga we jua we hukati
mi hulamba ngaji tu ju chumvi si sukari
sauti za mayolo
huwezi nionea hadi ukuje na digolo
naeza roga hadi msanii arudi ocha
mbuzi rende, rende mistari za itoka
zimbaka zimbaka zizizi
ana sura ya binti na akili zii
ni kiziwi ju akimpa ndiziski
sitishiki hii ni kali timiki
ka haikubambi hainibambi, haitubambi si
ka si ndizi matoke na nanasi
ka si mbuzi basi mtakuna n~z~
ka si nyolo hatutaki ma hennessy
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu mi capitán - un deseo más
- lirik lagu pl (피엘) (kor) - sonata
- lirik lagu fuxkcy - red panda
- lirik lagu quin nfn - never on time
- lirik lagu jason kanabay - people pleaser
- lirik lagu prophed - man
- lirik lagu alex fg - lemme vibe
- lirik lagu yunriko - buffalo bill
- lirik lagu diepretty mercédes - poppular (rip fakie)
- lirik lagu dagon - i ran