lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mbosso - tena

Loading...

[verse 1]
jasho lilinitoka mwenzenu
aata kwenye ic
yule niliisema ni shemeji yenu
amenipandisha bp

[pre chorus]
ngumi mkononi kufa na maungoni
yemi sijazoea
yanamtoka mdomoni nakosa silioni
mwenzangu ananifokea oh no‑no

[chorus]
kwake mi kurudi tenaa
hilo haliwezekani
mimi k~mpenda tena
si bora tu nifuge nyani
kwake mi kurudi tenaa
hilo haliwezekani
mimi k~mpenda tena
si bora tu nifuge nyani
kwake mi kurudi tenaa
hilo haliwezekani
mimi k~mpenda tena
si bora tu nifuge nyani
[verse 2]
mambo ya kulilia mapenzi
ni miaka tisini kushuka chini
watoto elfu mbili hawawezi haya mambo
lilowekea akilini

[pre chorus]
ngumi mkononi kufa na maungoni
yemi sijazoea
yanamtoka mdomoni nakosa silioni
mwеnzangu ananifokea oh no‑no

[chorus]
kwake mi kurudi tenaa
hilo haliwеzekani
mimi k~mpenda tena
si bora tu nifuge nyani
kwake mi kurudi tenaa
hilo haliwezekani
mimi k~mpenda tena
si bora tu nifuge nyani
kwake mi kurudi tenaa
hilo haliwezekani
mimi k~mpenda tena
si bora tu nifuge nyani
kwake mi kurudi tenaa
hilo haliwezekani
mimi k~mpenda tena
si bora tu nifuge nyani


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...