lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mbosso - siko single

Loading...

[intro]
heiyee
cl!ck master

[verse 1]
kwenye safari ya mapenzi we dereva imaraa aah
panapo na utelezi naomba gangamaraa aaah
my i know (i know)
zitakuja changamoto toto
sweety i know (i know)
tutapitia misoto toto

[bridge]
najua unanipenda mchumba
huwezi enda na kimbunga
najua unanipenda laazizi
huwezi enda na mawimbi mpenzi

[chorus]
sura yako, sura yangu, zishaanza kufanana
moyo wako, moyo w~ngu, kupendana hadi qiyama
siko single oooh (mchumba wambie)
hauko single oooh
siko single oooh (mchuchuchu waambie)
hauko single
[verse 2]
hasara, hasara
hasara nilipata before
hasara za duka la mapenzi
zilinikausha koo
sikulala, sikulala mimi
mambo ya kurushwa roho
nikaapa kupenda sitaki tena
aku mie nooh nooh

[bridge]
wewe ni nani wewe
ulonibadilisha akili
wewe ni nani wewe
umenitawala mwili mpenzi

[chorus]
sura yako, sura yangu, zishaanza kufanana
moyo wako, moyo w~ngu, kupendana hadi kiyama
siko single oooh (mchumba wambiе)
hauko single oooh
siko single oooh (mchuchuchu waambie)
hauko singlе


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...