
lirik lagu mbosso - shilingi
[intro]
shilingi yang’ara ng’ara
shilingi yang’ara ng’ara
naapa kwa biblia
nashika na masahafu
naapa mbingu dunia aaah
[verse 1]
funika kibakuli funua moyo wa furaha
sura za mafedhuli nyeusi fii zimewafura
wasome kwa zaburi wagalatia hawashindi kudura
hili penzi tanuri, wakivamia litawavula
honey kuna n~z~ mi nikamue tui
tule wali mbaazi yetu mapocho pocho
kisha tuanze kazi usiku kwa asubuhi
mwali tumwage radhi mambo ya socco socco
[chorus]
penzi sarafu ina pamde mbili
shilingi yang’ara ng’ara
mwenge wewe, bichwa mie
shilingi yang’ara ng’ara
vidole juu tuwalingishie
shilingi yang’ara ng’ara
doli doli samwela
shilingi yang’ara ng’ara
[verse 2 : reekado banks]
when you dey side, no worry dey ooh
where you dey, n0body dey ooh
take over my whole sp~ce
rock my white shirt eeh
oh dance asake
anything for you asake
sometimes the body might be too lazy
but when you call mе i go fisi
omo to dun bi waakye
se kin wa je
somеtimes the pocket may be too low
but when you call me i go still show
malo fumble
e go pain me gan ni
cause i love you (love you)
and i want to give you all my love
if we argue
se lo te mi lo run
tell me you love me (love me)
ooooh ooh…
[chorus]
penzi sarafu ina pamde mbili
shilingi yang’ara ng’ara
mwenge wewe, bichwa mie
shilingi yang’ara
vidole juu tuwalingishie
shilingi yang’ara ng’ara
doli doli samwela
[outro]
asa baby komesha
jishembe jishembendue
jisheee
jishembe jishembendue
jishaue baby
jishembe jishembendue
wajue mashauzi umezaliwa nayo
jishembe jishembendue
deka deka
jishembe jishembendue
komesha vunyunguruta
jishembe jishembendue
wambie sisi gari la petrol
wasije iba mafuta
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu brother ali & ant - immortalized
- lirik lagu adeva - it should've been me
- lirik lagu maya martínez - think of me
- lirik lagu kidsubi - your loss
- lirik lagu runaway richochet - swan song
- lirik lagu ct media (esp) - popular
- lirik lagu provinz - weißer mercedes
- lirik lagu afelia - я писала тебе (i wrote to you)
- lirik lagu jexer - ppp
- lirik lagu sirchef - voldemort