lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mbosso - picha yake

Loading...

[intro]
eh!! eh!!
la la aah aaah

[verse 1]
naishi naisha, hata sura inakosa nuru
napukutika, mnyonge mwoga mi kunguru
namridhisha na wa mwisho kwenye msururu
penzi la kujificha, mbele za watu haiko huru
sili nikashiba, mw~nga ndani nje giza
kanipa ratiba, zamu yangu kila juma pili
moyoni mwiba, nahema kwa shida
penzi msiba, linaniliza mimi eh

[pre~chorus]
siku nikifa nizikwe na picha yake yeye (yee!le!le!le!)
na imani nitakutana na yeye (aaaah~aaa!aa!a)
siku nikifa nizikwe na picha yake yeye (yee!le!le!le!)
na imani huko tutakuwa wenyewe (lalala)

[chorus]
lah la la la laah
laah la la laah
uho wo wooh
lah la la la laah
uuh uh uh uuh
laah la la laah
iye iye iyee yeeh
laah la la laah
silali baridi, usiku natetemeka
na mbaya zaidi, rafiki wananicheka
silali baridi ye ye, usiku natetemeka
mi najitahidi, ila siishi kusononeka
[verse 2]
mmh eh
ona mawingu yamepambwa kwa rangi nzuri
sio mimi wala wewe, ni mungu mwenyewe
akaumba jua na mbingu, na mapenzi kama kivuli
tujifiche mi na we, sa mbona unaniacha mwenyewe
wahenga walisha sema, ukipewa ukilema
unapewa na mwendo, ila kw~ngu si neema
yani sisimizi k~muua tembo
ooh chanda chema
imemaki neno
hakuna matendo
nilipolenga nimetema
moyo umekosa malengo, mama oh oh

[pre~chorus]
siku nikifa nizikwe na picha yake yeye (yee!le!le!le!)
na imani nitakutana na yeye (aaaah~aaa!aa!a)
siku nikifa nizikwe na picha yake yeye (yee!le!le!le!)
na imani huko tutakuwa wenyewe (lalala)

[chorus]
lah la la la laah
laah la la laah
uho wo wooh
lah la la la laah
uuh uh uh uuh
laah la la laah
iye iye iyee yeeh
laah la la laah
silali baridi, usiku natetemeka
na mbaya zaidi, rafiki wananicheka
silali baridi ye ye, usiku natetemeka
mi najitahidi, ila siishi kusononeka
[outro]
silali baridi (la la la la)
mi najitahidi (la la la la)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...