lirik lagu mbosso - ova
ova ~ mbosso lyrics
#verse
vishavu vimeanza kunona
kitambi ndo hichi sasa ona
nitazame, nanenepa nanenepa
nami nimempata chioma
#hook
ulijichanganya, na nilikupenda sana
walokudanganya, ndo walokuponza dear
kujitia mpana, mara kunitukana
kwakweli hapana, nikasema ova dear
ova ova
#chorus
ova mi na wewe ova
ova imetosha ova
ova mi na wewe ova
ova nimesema ova
#hook
ulijichanganya, na nilikupenda sana
walokudanganya, ndo walokuponza dear
kujitia mpana, mara kuntukana
kwakweli hapana, nikasema ova dear
#verse
shilingi shilingi shilingi
shilingi yatutoa roho shilingi
shilingi yo ni mwanaharamu shilingi
shilingi ya ua mapenzi
#hook
ulijichanganya, na nilikupenda sana
walokudanganya, ndo walokuponza dear
kujitia mpana, mara kuntukana
kwakweli hapana, nikasema ova dear
#chorus
ova mi na wewe ova
ova imetosha ova
ova mi na wewe ova
ova nimesema ova
#outro
ulijichanganya, na nilikupenda sana
walokudanganya, ndo walokuponza dear
kujitia mpana, mara kuntukana
kwakweli hapana, nikasema ova dear
ova ova
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu гр. полухутенко (gr. polukhutenko) - жираф (giraffe)
- lirik lagu de musikalske dvergene - skutt gorilla
- lirik lagu jelato - хочу выстрел (i want a shot)
- lirik lagu saif (fra) - il pleut demain
- lirik lagu manuel ponce - onda
- lirik lagu cinders - why so low?
- lirik lagu whities - la réalité n'existe pas (outro)
- lirik lagu brady stolz - state of mind
- lirik lagu sus - john snow
- lirik lagu huron john - of a dream (vaporized)