lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mbosso - merijaah

Loading...

[intro]
s2kizzy baby

[verse 1]
jirani yangu, jirani yangu tumezoeana
mlango wake, mlango w~ngu vinatazamana
sukari kwake, chumvi kw~ngu tukaazimana
akawa bf w~ngu, udugu w~ngu tukashibana
mwisho tukapendana

[pre chorus]
ooh meri merijaah
kama ingekuwa ndoo ya maji ingejaa
na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
oooh meri meri
ooh meri merijaah

[chorus]
kama ingekuwa ndoo ya maji ingejaa
na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
oooh meri meri
ooh meri merijaah

[bridge]
(oooh meri meri
ooh meri merijaah
oooh meri meri
ooh meri merijaah)
[verse 2]
mwambani mwambani eeeeh
mwambani msuli na khanga
wazania wazania eeheeeeehh
waambie ndo tunayaanza
ooooooooh

[pre chorus]
ooh meri merijaah
kama ingekuwa ndo ya maji ingejaa
na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
oooh meri meri
ooh meri merijaah

[chorus]
kama ingekuwa ndo ya maji ingejaa
na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
oooh meri meri
ooh meri merijaah

[outro]
(oooh meri meri
ooh meri merijaah)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...