lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mbosso - kunguru

Loading...

[intro]
huyo, huyo
huyo, huyo, huyo, huyo, huyo
huyo, huyo

[verse 1]
nilikuwa na mpenzi, mpenzi, mpenzi, mpenzi, mpenzi
nikasema k~muacha siwezi, siwezi, siwezi, siwezi
akanifanyia ushenzi, ushenzi, ushenzi, ushenzi, ushenzi
nikayachukia mapenzi, mapenzi

[pre~chorus]
leo kaanza kuniita bebe (ananiita bebe)
hivi ananiona mi bwege (ananiona bwege)
anajilegeza lege
anataka tena mshedede

[chorus]
f~kuza kunguru, kunguru
kunguru, kunguru
f~kuza kunguru, kunguru
kunguru, kunguru

[hook]
wanini, wanini, wanini mimi wanini
wanini, wanini, wanini mimi wanini
wanini, wanini, wanini mimi wanini
wanini, wanini, wanini mimi wanini
[chorus]
f~kuza kunguru, kunguru
kunguru, kunguru
f~kuza kunguru, kunguru
kunguru, kunguru

[verse 2]
ndio basi (ndio basi tena)
haunipati (haunipati tena)
oh, ndio basi (ndio basi tena)
haunipati (haunipati tena)

[bridge]
nauko~kome, kujitumisha meseji
nauko~kome, kuniita ita baby
nauko~kome, kujitumisha meseji
aii ko~kome, kuniita ita baby

[pre~chorus]
oya kaanza kuniita bebe (ananiita bebe)
hivi ananiona mi bwege (ananiona bwege)
anajilegeza lege
anataka tena mshedede

[chorus]
f~kuza kunguru, kunguru
kunguru, kunguru
f~kuza kunguru, kunguru
kunguru, kunguru
[hook]
wanini, wanini, wanini mimi wanini
wanini, wanini, wanini mimi wanini
wanini, wanini, wanini mimi wanini
wanini, wanini, wanini mimi wanini

[chorus]
f~kuza kunguru, kunguru
kunguru, kunguru
f~kuza kunguru, kunguru
kunguru, kunguru


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...