lirik lagu mbosso - huyu hapa
hehehe iyaaa
chi chi chi
dar es salama eeh
moto moto moto
liwalo na liwe, leo namtangaza
sitaki nishauriwe eeh namtangaza
huyu hapa huyu, nampenda
huyu hapa huyu, ananipenda
sijrogwa ndugu yenu ni mapenzi ninayopatiwa
mwana kanipa kisamvu kipapatilo nyama ya njiwa
huyu hapa huyu, nampenda
huyu hapa huyu, ananipenda
sheba sheba sheba sheba
sheba sheba ajejejeje iyaaah
chuki mkichukia hamtushughulishi
sisi la masufuria halitakati kwa jiki
debe tupu ooh debe jupu
acha zako kelele
bure wajikausha sauti
acha zako kelele
tandika mkeka ukae utulie
acha zako kelele
sisi bado bado
acha zako kelele oooooh
huyu hapa huyu, nampenda
huyu hapa huyu, ananipenda
sa twende tiriri, tiriri tiriri
waonyeshe tiriri oh baby tiriri
tiriri tiriri, tiriri tiriri
tiriri tiriri, tiriri tiriri
sisemi nae eeh sisemi nae
sisemi nae eeh sisemi nae
huyo dungae embe, sisemi nae
mkurubia zinaa, sisemi nae
u.t.i mwana kaswende, sisemi nae
oooh aaah eeeh sisemi nae
alidhani nitadharirika, sisemi nae
nimepata wakuriadhika, sisemi nae
ooh nishatembeza block, sisemi nae
sio hadhi yangu teena, sisemi nae
debe tupu ooh , debe tupu
acha zako kelele
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu kenpachi sao - declined
- lirik lagu frank christian - houston street
- lirik lagu shook - fighting
- lirik lagu płochu - księżniczka 2
- lirik lagu daka, etern.all, ladrvga - memories (lo q extrañas ya no existe)
- lirik lagu wellinton pedro - a mulher maravilha
- lirik lagu the rejects of the machine - no more
- lirik lagu мегаданя (megadanya) - coca cola
- lirik lagu ceo trayle - withdrawals
- lirik lagu olli halonen - kylä keskellä ei mitään