
lirik lagu mbosso - asumani
[intro]
good, good, good
[verse 1]
adhana imeadhiniwa, muadhini anaita
k~mepambazuka alfajiri
naitwa kwenda kushali, mi nawaza pirika
chai nitakunywa nini saa mbili?
harage jero, chapati jero, energy jero
naishushia kwa juu
mf~koni tero, nyumbani kero
vita ya urithi, moto wa kifuu
[bridge]
aaah asumani, asumani
ni mwanangu sanaaa
asumani, asumani, tunaaminiana
[verse 2]
asumani kanisimamisha aniambie
kuna mchongo wa ela, anigaie
asumani kanipa mzigo nimshikie
ghafla kapaza sauti, nikimbie
[chorus]
asumani, asumani
kibegi chako chanipeleka segerea, asumani
asumani, asumani
kibegi chako chanipeleka mahakamani, asumani
ooh asumani, asumani
wewe asumani, mi naenda segerea
ooh asumani, asumani
familia yangu nani atailea?
[verse 3]
aah faridy mtu peace
msalimie yusuph kilungi
eeeh, mwambie asumani hii kwa niaba
watoto wa smoke zone
mshedede
mwenyеwe anajiita chata
mwenyewе anajiita namba chafu
mwenyewe anajiona kapagawa
mwenyewe anajiona sela mavi
wenzake wanakula fegi, ye kataka balcony
wauani wanakula fegi, ye kataka balcony
chiiii
mwenyewe anajiita chura
mwenyewe anajiita mama amina
mwenyewe anajiita toto tundu
eti anajua misamba
eti anataka iphone, na ndani anachupi moja
eti kanuna kisa iphone, na ndani anachupi moja
[chorus 2]
haya, sugua nsindaba
sugua nsindaba baba
sugua nsindaba
sugua nsindaba baba
sugua nsindaba
sugua nsindaba baba
[verse 4]
jamani mi nataka niseme (sema)
wahuni mi nataka niseme (sema)
wanangu mi nataka niseme
oooh mi nataka niseme (sema)
mwenzenu bia silewi, nileteeni double kiki
muoneni chura kagoma, kasema eeeh haipiti
haya mguu pande, mguu sawa
oya mguu pande, mguu sawa
wauni mguu pande, mguu sawa
oya mguu pande, mguu sawa
[outro]
hii beat ya singeli, uyo good amepiga regge
kwenye beat ya singeli, uyo good amepiga regge
piga regge
n0body can stop regge
n0body can stop regge
n0body can stop regge
n0body can stop regge
n0body, n0body
n0body can stop regge
n0body, n0body
n0body can stop regge
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu brockhampton - pressure (og)
- lirik lagu diagens - другие имена (other names)
- lirik lagu nan ometr - sonic w ciazy
- lirik lagu lonely muzic - if you stayed
- lirik lagu dave & central cee - sprinter (apple music live)
- lirik lagu ljótu hálfvitarnir - 666
- lirik lagu afios - xxl
- lirik lagu the countdown kids - yo ho (a pirate's life for me)
- lirik lagu renan collatto's agathos - the corruption
- lirik lagu lil uzi vert - bussin'