
lirik lagu mbosso - alele
[intro]
hhhhmm
oooh ooooh oh!
iyooo lizer
hhhmm
[verse 1]
nyama zetu za ulimi
zikikutana asali
bonyea chini
chagama kama tayari
leo tule nini
mihogo ya coco kwa kachumbari
si unanjuaga mimi
kitandani huwa hodari
kama umeniroga (aaaah eeh)
mganga wako fundi mama
ameniweza (nilichomeza me sijatema)
chumvi kwa kikogwa
wali maini ndizi nyama
umenilegeza (ukinigusa tuu natetema)
[bridge]
nikishuka kifuani baby
naomba nipate supu
ya nyama laini kama mapupu
yale ya gizani baby
nje tusiyaruhusu
kwa majirani
wambea wakina lufufu
[chorus]
hhhhmm uuh
aaah ah
alele lele
inzi w-ngu kidonda ning’ong’ozoe
alele lele
hhhhmm uuh
aaah ah
moyo w-ngu udongo umong’ong’onyoe
alele lele
[verse 2]
asubuhi niamshe
kabla ya kwenda kazini jogging
kijasho kitoke
ukihisi nachoka piga firimbi
ooh unikamate
kama nayumba shika ngingingi
wachef-kwe mate
maembe mabichi uwape mbilimbi
utamu w-ngu mimi
waujua wewe
penzi tubane na pini
iwe siri yetu wenyewe
muhindi wa kusini
mwenye mapenzi tele
kibiti hakuna madini
tukawinde tetele
[bridge]
nikishuka kifuani baby
naomba nipate supu
ya nyama laini kama mapupu
yale ya gizani baby
nje tusiyaruhusu
kwa majirani
wambea wakina lufufu
[chorus]
hhhhmm uuh
aaah ah
alele lele
inzi w-ngu kidonda ning’ong’ozoe
alele lele
hhhhmm uuh
aaah ah
moyo w-ngu udongo ung’ong’onyoe
alele lele
[outro]
hhhmm
kesho twende mbagala kwa mama eh
aaaaah eeh aaah eh
sio mbali twende hata baade
aaaaah eeh aaah eh
baby tafadhali fanya ujiandae
aaaaah eeh aaah eh
k-mbuka baibui kimini usivae
aaaaah eeh aaah eh
upajue nyumbani baby
aaaaah eeh aaah eh
na wakujue nyumbani baby
aaaaah eeh aaah eh
aaaaah eeh aaah eh
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu qeuyl - turn up
- lirik lagu versio curs - down the middle
- lirik lagu thirty seconds to mars - dangerous night (cheat codes remix)
- lirik lagu kube - satelliitit
- lirik lagu zait - c'est la vie
- lirik lagu the beatles - savoy truffle (2018 mix)
- lirik lagu luna (band) - that's what you always say
- lirik lagu spinetta y los socios del desierto - tu nombre sobre mi nombre
- lirik lagu chábazz - alter ego
- lirik lagu lo'99 - from the start