lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mawe boy - napita nae

Loading...

mawe boy mwaisa mwaisasaa

haya ni majaribu(jaribu)
haya ni majaribu(jaribu)
baby acha tamaa,acha tama
haya ni majaribu(jaribu)
haya ni majaribu(jaribu)

ungekuwa wewe ungefanyaje?
shoga yake,anakishundu zaidi yake
weee napita napita nae
sijamwita anaitika,ukichek chuchu saa sita
naanzaje sasa namwachaje sasa
weee napita napita nae
anajua huyoo an~z~go huyoo
akitembea ~n~litikisaa ~n~lifikicha
~n~lifikichaa ~n~litikisa
hili hapa hili hili hapa hili
si wametakaa watakoma na namba waisomaa
hili hapa hili,hilo lako la mama ako(otea)
hilo lako la dada ako (otea)
og au la kufog(otea otea)
napita napita nae
haya ni majaribu(jaribu)
haya ni majaribu(jaribu)
baby acha tamaa,acha tamaa
haya ni majaribu(jaribu)
haya ni majaribu(jaribu)
ungekuwa wewe ungefanyaje?
weee napita napita nae
weee napita napita nae
napita napita nae
napita napita nae

baby lake mtu wa vizinga
shemu lake anamavumba tena ana ndinga
kila sehemu tunavimba nitake nini tenaa
weee napita napita nae
nampa yote baby chukua yote
yoteyotе anajua huyoo
anahonga huyoo apo chachaa
naanzaje sasa,apo chachaa
namwachaje sasa weee
napita napita nae
wе si ostadhati,we si mchungaji
we si ostadhati we si mchungaji
potelea pwetee

weee napita napita nae
hayo ni majaribu(jaribu)
hayo ni majaribu
baby acha tamaa
we dj acha tamaa
mtumishi acha tamaa
hata yesu alijaribiwa imani akashikilia
weee napita napita nae
weee napita napita nae
napita napita nae
napita napita nae
napita napita nae
napita napita nae
imeisha au vita iendelee


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...