lirik lagu maua tego - tatizo kamdomo
tatizo kamdomo kamdomo kamekuponza
dozi yangu haina kipimo hebu na wewe onja kwanza
tatizo kamdomo kamdomo kamekuponza
dozi yangu haina kipimo hebu na wewe onja kwanza
maua yangu nipewe mimi kispoti
mimi si wa kispoti
una nini mbwa wewe
haunogi kwa snapchat
shughuli natamba mie ma mc respect kw~ngu
gozi gozi nitolee hizo sio shida zangu
hapa mbele usisogee meno nitakung’oa
hebu kausha kenge wewe balaa langu sio poaa
#instrumental
kuheshimiana kupo hii ni namba nyingine
kuna wengine wapo hapo hebu tembea uone
kuheshimiana kupo hii ni namba nyingine
kuna wengine wapo hapo hebu tembea uone
long time natingishaa
mimi shangazi wa taifa
hakuna wakunishusha
baki na wewe rofa
huwa najua k~mеchisha
pesa najua kutafuta
ipo kazi kunishusha
tego nimeshajipata
marеjesho sio shida zangu
mitunzo haini cost
niko biyee shoga angu
insta mtasha kani post
marejesho sio shida zangu
mitunzo haini cost
niko biyee shoga angu
insta mtasha kanipost
arijai kaamuna lanii sai
bwana wa kukupa hela unacha ugaigai
arjalamuna
alanisai bwana wa kukupa hela huna acha ugajai
kula nyama nyamaza usije ukazingua
mjini uj~paweza sisi watotowakishua
kula nyama nyamaza usije ukazingua
mjini uj~paweza sisi watotowakishua
kwa heka heka huna
udanga kutakuchwea
una madeni kila kona
muha unamkimbia
kwa heka heka huna
udanga kutakuchwea
una madeni kila kona
muha unamkimbia
dj gonga ya zuchu
kamdomo utafungia
maneno usiyatie zipu
leo adabu nakutia
dj sheby gonga ya zuchu
kamdomo utafungia
maneno usiyatie zipu
leo adabu nakutia
kalikoroga kasongo
salamu zipelekeni mitunzo yangu ya viw~ngo
na wala sio sibosheni
kalikoroga kasongo
salamu zipelekeni mitunzo yangu ya viw~ngo
na wala sio sibosheni
watoto wa 2000 woote heshima kw~ngu
si kwa pesasi kwa uzuri
hufiki daraja langu
watoto wa 2000 woote heshima kw~ngu
si kwa pesasi kwa uzuri
hufiki daraja langu
wala sina ubabai
lipo lele jambo langu
asante sana kaka mkubwa
omary teggo
ingia kati ucheze usiogope marejesho
utakufa vibaya wewe
#instrumental
shangazi siishiwi pawa
huu mwaka w~ngu kinoma
kila mtu kapagawa wa mbele hadi wa nyuma
shape huna sura huna watu huna
we hovyo mtu mzimaa
shangazi siishiwi pawa
huu mwaka w~ngu kinoma
kila mtu kapagawa wa mbele hadi wa nyuma
nyota huna hadhi hunaa sponsa huna
una madeni kila kona
shangazi siishiwi pawa
huu mwaka w~ngu kinoma
kila mtu kapagawa wa mbele hadi wa nyuma
sura huna nywele huna mipango huna
mabwana wa maana huna
shangazi siishiwi pawa
huu mwaka w~ngu kinoma
kila mtu kapagawa wa mbele hadi wa nyuma
#instrumental
asante sana maneja mpili
ukinipenda naona sawa
unkinichukia poa tuu
ukinipenda naona sawa
unkinichukia poa tuu
aloo wee aloo tena
aloo wee aloo tena
watu w~ngu wanasema maua tego mcharoo
ukinpenda usiponipenda mimi napenda shari
watu w~ngu wanasema maua tego mcharoo
ukinpenda usiponipenda mimi napenda shari
heehehehehe wana cost hao
akikupa kuku wake kula
akikupa pombe zake kunywa
akikupa pesa zake chukua
akikuambia twende tukalale mwambie sina usingizi
akikupa kuku wake kula
akikupa pombe zake kunywa
akikupa pesa zake chukua
akikuambia twende tukalale mwambie sina usingizi
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu v-unit - my słowanie (odpowiedź mężczyzn)
- lirik lagu timmy no brakes - no wires
- lirik lagu si! boom! voilà! - pinocchio
- lirik lagu slayer diesel & keijo! (rus) - addicted
- lirik lagu mintore - foreign
- lirik lagu pellowh - lost in time
- lirik lagu djivan - твоя тень
- lirik lagu kyle g - again
- lirik lagu ilyesszer - elle veut
- lirik lagu siron - furiosa