lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu maua sama - shukurani

Loading...

[verse 1]
hicho kibali umenipa
you know why eeh
sina cha kukulipa
kw~ngu you’re the one eeh
unajua wapo wasionipenda
lakini bado unanikinga
upo nami kila ninapokwenda
hata kama ni sehemu usizopenda

[pre chorus]
wanatamani wanilaze macho
ama kabisa nisione
nisiwe hata na nilichonacho
ila unaning’aza wanione

aaaaaaaaaaa aaiyaa ayyayayaya
aaaaaaaaaaa aaiyaa ayyayayaya

[chorus]
shukurani kwako, uzima umenipa wewe
shukurani sana
kila dakika kila wakati
shukurani baba
shukurani (ooooyeaaayeah)
[verse 2]
milango in~z~di funguka
na bado i am winning
nikitazama nilipotoka
i am grateful unanibariki
wanadhani yangu taaa itazima
mbona watasubiri sana
god’s making me shine like a star
kila nnachomuomba ye hufanya

[pre chorus]
wanatamani wanilaze macho
ama kabisa nisione
nisiwe hata na nilichonacho
ila unaning’aza wanione

aaaaaaaaaaa aaiyaa ayyayayaya
aaaaaaaaaaa aaiyaa ayyayayaya

[chorus]
shukurani kwako, uzima umenipa wewe
shukurani sana
kila dakika kila wakati
shukurani baba
shukurani (ooooyeaaayeah)
[bridge]
never seen this kind of love before
never seen this kind of love before
nеver seen this kind of love beforе
never seen this kind of love before

[chorus]
shukurani kwako
uzima umenipa wewe
shukurani sana
kila dakika kila wakati
shukurani baba
shukurani (ooooyeaaayeah)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...