lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu maua sama - pambe

Loading...

[verse 1]
wanatamani unitose, boy wapate kusemaga
nami nijaze ujuzi, show iwe kama zagazaga
eeeh, useme ni koloni koloni, ndo utavyonichanganya
ukanipange huko sokoni, kama fungu ya nyanya
ujue mwenzio mwenzio, umeshanishika masikio
kipenda roho, penda roho, kamatia baba
w~ngu moyo mbio mbio, achana nao viredio
furaha ikageuka kilio, zingatia baba

[pre chorus]
nakamata chaga, kash~sh~
gonga ndani, tucheze
makida rede, changanya mazaga

[chorus]
hooo baaby, mambo nipambe
wacha nkugande pambe pambe yooo
pambe pambe yooo, pambe pambe yoooh

[verse 2]
nusu yangu unayo wewe
usiondoke, nikamilishe
wasiniibe mapedeshee
wakucheke, unidhalilishe
uuuh baby, umeni~murder
kwako nimеkaa, nimejenga kibanda nda nda nda
usiku unanipaga bada bing bada boom
usikate shanga nga nga nga
[pre chorus]
nakamata chaga, kashеshe
gonga ndani, tucheze
makida rede, changanya mazaga

[chorus]
hooo baaby, mambo nipambe
wacha nkugande pambe pambe yooo
pambe pambe yooo, pambe pambe yoooh


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...