![lirik.web.id](https://lirik.web.id/tema/logo.png)
lirik lagu maua sama - niteke
[verse 1]
kwako tetere nishazubaa
nipe mchele, usinipe chuyaa
uwache pele, tuliza pupa
oooh oooh
usije ukaniua titiri oooh
oooh nishakupa vyote vyako(ooh lalala)
mautam mamnato(ooh lalala)
[chorus]
niteke! mateka niteke
niteke! niteke teke niteke
niteke teke! mateka niteke
niteke! ooooh…
siri ishia mrama
mwaga mwaga ma
siri ishia mrama
mwaga mwaga ma
[verse 2]
uma fiti, nidhibiti
ukimumunya pipi
utamu wa kisiginoni
nichikiche nichikichi
na shovu nnje ya kiti
leo unakesha kilindoni
nitw~nge nipepete
nisage nichekeche
nikande niumbuke
kilima nipandishe
kibinda mkoi mkoi(aaaee eeh)
kiwinda pori pori(aaaee)
naringa doli doli(aaaee eeh)
mawinga chori chori
[chorus]
niteke! mateka niteke
niteke! niteke teke niteke
niteke teke! mateka niteke
niteke! ooooh…
siri ishia mrama
mwaga mwaga ma
siri ishia mrama
mwaga mwaga ma
mateka niteke
niteke teke niteke
mateka niteke
ooooh…
mwaga mwaga ma!
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu sixsaidit - bite size
- lirik lagu dingthefoxboi - the rap god forever
- lirik lagu noah lennon - samba in the south (feat. zion b)
- lirik lagu riley green - slow dancing in a burning room
- lirik lagu galgo lento - kendall roy freestyle
- lirik lagu 31 knots - that which has no name
- lirik lagu brian stokes mitchell - sonnet 50
- lirik lagu the jerks - panambitan
- lirik lagu lothloryen - the quest is on
- lirik lagu saintdope - n1gg3r