![lirik.web.id](https://lirik.web.id/tema/logo.png)
lirik lagu maua sama - nioneshe
[verse 1]
oooh baby
ukinigusa nyang’a nyang’a
mwenzako sijiwezi
mi kipofu napapasa juu yako
nahisi hakuna amani
nisipokuona nyumbani
moyo unajawa tafarani
kwichi kwichi chumbani
haziishi kichwani
hasa pale ukiwa mbali nami
chochea kuni kwa kishindo
jiko lako ni mimi
unipe joto joto kwenye baridi
[pre chorus]
nitang’ang’ana nawe nitabaki nawe
sitokuacha mpweke
shika ishikilie, usiniache mimi
chunga wasiniteke
honey mi kwako n~z~ mbata
nitafune unavyotaka
kiuno si dimba chakacha
serebuka unavyotaka eeiii
[chorus]
nioneshe, niweke tepetepe (nibonye bonye beiby)
nioneshe, niweke tepetepe (lover)
nioneshe, niwekе tepetepе (nibebebe bebe)
nioneshe, niweke tepetepe (i swear me love you too)
[verse 1]
napenda ukinichombeza
umeniweza nipe ndoa, nichangie na damu
mi ndo ukinichombeza
ukinigusa mi nalowa, usiniache wa ubani
ndi ndi ndi
kisho unitafune mbilimbi eeh
na bao la ushindi
mchezaji chake kigimbi eeh
roho zinawauma eeh (wauma eeh)
mimi kuwa na wewe
zinawauma eeh
mimi kuwa na wewe
[pre chorus]
nitang’ang’ana nawe nitabaki nawe
sitokuacha mpweke
shika ishikilie, usiniache mimi
chunga wasiniteke
honey mi kwako n~z~ mbata
nitafune unavyotaka
kiuno si dimba chakacha
serebuka unavyotaka eeiii
[chorus]
nioneshe, niweke tepetepe (nibonye bonye beiby)
nioneshe, niweke tepetepe (lover)
nioneshe, niweke tepetepe (nibebebe bebe)
nioneshe, niweke tepetepe (i swear me love you too)
[outro]
uuuh lalala, ohaaa
uuuh lalala, ohaaa
(the mix k!ller)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu yung exu _\l/_ - filosofia de playsson 2
- lirik lagu miney mays & sqazz - dream (bonus)
- lirik lagu jelle verse - onderzeeër
- lirik lagu keyon bowman - jump up jump back
- lirik lagu lavendr - lost
- lirik lagu imagine dragons - blablabla (demo)
- lirik lagu ryuminhee (류민희) - 부디 나를 잊지 말아요 (don't forget me)
- lirik lagu mória (artist) - 809hz (de rd con amor)
- lirik lagu би-2 (bi-2) - впереди (ahead)
- lirik lagu g5 elz - midnight club (los angeles)