
lirik lagu maua sama - nioneshae rmx
[intro : ali kiba]
hey baby, i’ll tell you this
this is for me and you
you know i love you right
we have to focus on our vision
please don’t listen to them
[verse 1 : maua sama]
ooh baby…
ukinigusa nyan’ganyan’ga mwenzako
sijiwezi
mi kipofu napapasa juu yako
nahisi hakuna amani
nispokuona nyumbani
moyo unajawa tafarani
kuchi kochi chumbani
haziishi kichwani
hasa pale ukiwa mbali namii
chochea kuni kwa kishindo jiko lako ni mimi
unipe joto joto mpenzi kwenye baridi
[pre chorus : maua sama]
ntang’ang’ana nawe
nitabaki nawe
sitokuacha mpweke hey
shika nishikilie usiniache mimi chunga wasinoteke hey
honey me kwako n~z~ bata
nitafune unavyotaka
kiuno sindimba chakacha
serebuka unavyotaka hey
[chorus : maua sama]
nioneshe (ooh aah)
niweke (eeh) tepetepe (plеase show me)
nioneshе (ooh girl)
niweke (aah) tepetepe (mwendo ule ule)
nioneshe (ooh aah)
niweke (girl) tepetepe (show me)
nioneshe (right)
niweke (aaah) tepetepe (mwendo ule ule)
[verse 2 : ali kiba]
i like the way i touch your body
i like the way i touch your body maaa
i like the way i touch your body
ooh noo, ooh no me love
sina kauli kwako, i don’t know want to say
utundu wako, unauweza shoo
kiukweli unanijali, mpaka unaiota ooh me love
i like the way i touch your body
i like the way i touch your body maaa
i like the way i touch your body
ooh noo, ooh no me love
[pre chorus : maua sama]
ntang’ang’ana nawe
nitabaki nawe
sitokuacha mpweke hey
shika nishikilie usiniache mimi chunga wasinoteke hey
honey me kwako n~z~ bata
nitafune unavyotaka
kiuno sindimba chakacha
serebuka unavyotaka hey
[chorus : maua sama]
nioneshe (ooh aah)
niweke (eeh) tepetepe (please show me)
nioneshe (ooh girl)
niweke (aah) tepetepe (mwendo ule ule)
nioneshe (ooh aah)
niweke (girl) tepetepe (show me)
nioneshe (right)
niweke (aaah) tepetepe (mwendo ule ule)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu крест (krest) - меняемся телами (swapping bodies)
- lirik lagu adan (esp) - ¿para que sufrir?
- lirik lagu paravi - godspeed
- lirik lagu grimms - wiggle waggle
- lirik lagu dharius - vndo
- lirik lagu jock hattle band - to be or not to be (short version)
- lirik lagu savv4x & off radar (can) - disco music, pt. 2
- lirik lagu the figgs - favorite shirt
- lirik lagu txylxr - can't die
- lirik lagu santa rm & pambo - tóxicos