lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu maua sama - nakuelewa

Loading...

[intro]
oh oh yeah yeah
oh yeah yeah

[verse 1]
siwezi ficha jungu li la kaya
siri yanif~kuta vibaya
mi tapatapa nimelowa ile mbaya
nyakanyaka moyo ume~desire

[pre chorus]
oh! nikikupa moyo basi usiulize
na kama ukinipa kweli usiniigize
baki nami kwenye mw~nga na giza
usinipimie penzi ukinibamiza

[chorus]
mwenzako nakuelewa
oou oo eeeee(nakuelewa)
ooou eeeee(mwenzako nakuelewa)
heeey oo eeeee(nakuelewa)
ooou eeeee

[verse 1]
ukiweza kunifanya nisijejutia
ni thamani zaidi ya gari
ukiweza penzi letu kulipalilia
utamu na raha darling
darling, darling (oooo nananaaaa)
hey baby baby (oooo nananaaaa)eeeh
hizo mboni kama umenita
kidari ulivyochanika
hisia umezifunika
umeninogea
[pre chorus]
ooooh nikikupa moyo basi usiulize
ei na kama ukinipa kweli usiniigize
oouh baki nami kwenye mw~nga na giza
usinipimiе penzi ukinibamiza

[chorus]
mwenzako nakuelеwa
ooooh oooh yeee(nakuelewa)
ou yei ye yeeeee
(mwenzako nakuelewa)
hey o yee eeei(nakuelewa)

heeeeey yeyeye ah
mwenzako nakuelewa
nakuelewa
mwenzako nakuelewa
nakuelewa

[outro]
oou nikikupa moyo basi usiulize
ei na kama ukinipa kweli usinigize
habaaa!


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...