lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu maua sama - mr. dj

Loading...

[intro]
samaaaaa!

[verse 1]
ulivyoniacha ulijua nitakufa
ulivyoniacha ulijua nitaded
ona mungu kanipigania mi nanenepa
ona baba yeye kanipigania

[pre chorus]
sasa sasa hasira zanini (hasira zanini)
makasiriko ya nini
we si uliniacha jamani
una wako nyumbani

[chorus]
mr dj weka wimbo
nataka ex anione nimenunua iphone
mr dj weka wimbo
nataka nimkere ex mpaka atoke humo ndani

ebu toka hapa mwenzio nishajipata
nishajipata mwenzio nishajipata

[verse 2]
mapenzi kudadadek
mtu unampa moyo vyote kapiga deki
toka hapa baba hunipati
j~po ata mia sina ila haunishiki
[pre chorus]
sasa sasa hasira zanini (hasira zanini)
makasiriko ya nini
we si uliniacha jamani
una wako nyumbani

[chorus]
mr dj weka wimbo
nataka ex anione nimenunua iphone
mr dj weka wimbo
nataka nimkere ex mpaka atoke humo ndani


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...