lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu maua sama - miayo

Loading...

[verse 1 : mchina mweusi]
ukweli ukiniacha mi nitaumia
maana moyoni nimeshakupenda
naomba univumilie mchumbaa
leo tumekosa, kesho tutapata
piga miayo mwanangu kama una njaa, aah
piga miayo baharia kama una njaa, aah
piga miayo mwanangu kama una njaa, aah
piga miayo baharia kama una njaa, aah

[verse 2 : maua sama]
sama
mwenzako nina joto, naskia raha ka nirudi utoto
so baby give it to me ya moto
ona sa unafanya naongea kingereza
mara this, mara that, yani kingereza
mara this, mara that

[refrain : maua sama & mchina mweusi]
ukweli ukiniacha mi nitaumia
maana moyoni nimeshakupenda
nakuomba univumilie mchumbaa
leo tumekosa, kesho tutapata
piga miayo mwanangu kama una njaa, aah
piga miayo baharia kama una njaa, aah
piga miayo mwanangu kama una njaa, aah
piga miayo baharia kama una njaa, aah
[verse 3 : maua sama & mchina mweusi]
dada njoo, dada njoo, njoo njoo
oya wee, me na~na~na~na~nakupenda wewe
ukija ku~ku~ku~ku~kuniacha mimi
nita~ta~ta~ta~ta~ta~ta nitateseka
naomba uni~ni~ni~ni~ni~nikubalie
mwenzako naumi mi mi
mwenzako naumi mi mi
mwenzako naumi mi mi
mwenzako naumi mi mi
ha ha ha haiya, ni nimeku~ku~ku~ku~kubalia
kwa kwanzia le~le~leo ni~ni~wa~wapenzi

[outro : mchina mweusi]
ah, wachina ni wengi, tunawajua
ila mweusi ni mmoja chini ya jua
hata maki ni wengi, ila mwisha mmoja
menеja krisi, nisalimie tayo
we sonko tachi
watoto hamweza bondеni
gwiji mwana fa, heshima yako
we umbwa mwitu og
triple 9 baba
yusufu ngage
usiniletee ua sama
nikona maua sama humu


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...