![lirik.web.id](https://lirik.web.id/tema/logo.png)
lirik lagu maua sama - amen
[intro]
aaaaaah aaaaah aaaaaah
aaaaaah aaaaah aaaaah (abbah)
[verse 1 : maua sama]
baby wajua
leo nina furaha, babe
and you is all i want
and i don’t need someone else babe
[verse 2 : ben pol]
nipe nipende kipekee
nitunze kwa moyo wote
nami mapenzi nikupe
sikwachi hata sekunde
[pre chorus : maua sama & ben pol]
na hisia zangu zakuita yeh
uingie moyoni
nawe uwe mw~nga w~ngu k~mulika
unitoe gizani
kwa sababu ni we ee tu, ni we ee tu
nimpendae ni we ee tu, all day eh
kwa sababu ni wewe tu, ni wewe tu
nimpendae ni wewe tu wifey
[chorus : maua sama]
atubariki, ameeen
na atulinde, ameeen
atuongoze, ameeen
milele yote, ameeen
wotе tuseme, ameeen
[verse 3 : maua sama]
walidhani sikufai
leo wanashangaa
ni siku yеtu ma babe
ndoto imekua
hata familia
wanafurahi ma babe
vile umeniwahi
kote wanikaa eh
shingoni kama tai (tai tai eh)
na leo najidai
heshima ulonipa
ya kuwa mwenzi wako milele
[verse 4 : ben pol]
daima (mama we) ntakulinda (mama we)
sina sababu (mama we) ya kukutenda
moyo w~ngu ni wako
ninakukabidhi peke yako wewe
fungua wa kwako
nifurahie pendo lako
[pre chorus : maua sama & ben pol]
na hisia zangu zakuita yeh
uingie moyoni
nawe uwe mw~nga w~ngu k~mulika
unitoe gizani
kwa sababu ni we ee tu, ni we ee tu
nimpendae ni we ee tu, all day eh
kwa sababu ni wewe tu, ni wewe tu
nimpendae ni wewe tu wifey
[chorus : maua sama]
atubariki, ameeen
na atulinde, ameeen
atuongoze, ameeen
milele yote, ameeen
wote tuseme, ameeen
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu companhia do calypso - dudu
- lirik lagu iyla - overboard
- lirik lagu brendan hanley & brent macdonald - ring-dang-doo
- lirik lagu @ilymeedy - dj
- lirik lagu uidq - bladerunner
- lirik lagu yüksek sadakat - bir
- lirik lagu yasha champ - не забывай (don't forget)
- lirik lagu terreno baldio - este é o lugar
- lirik lagu carmen sánchez viamonte - mad max
- lirik lagu bovea y sus vallenatos - rosa maría