lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu matonya - taxi bubu

Loading...

[pre~chorus: matonya]
k~mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe

[verse: 1 ~ fid q]
k~mbe ni taxi bubu, niliemuhusudu
akaniganda mithiri ya mdudu kupe
mchana za njano, usiku ana nyeupe
yaliyomo hayamo, lakini mi nimeona it’s not fair

[verse: 2 ~ matonya]
kweli usilolijua usiku wa giza
kipenzi cha moyo leo hii kinaniliza mimi
hisia nilimpa yeye sababu ya k~muamini
ni chunusi si baharini, hata nchi kavu pia jamani wanathamani
mwenzenu nkasema labda nionapo picha ya kimwali mi ni hoi
k~mbe sivyo bwana, vile nilivyodhani awe w~ngu wa milele
hivi ndivyo alivyo kupenda anataka, kupendwa anaogopa
sababu ana mengi maovu asije umbuka

[chorus: matonya]
k~mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe na
k~mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe na
[verse: 3 ~ matonya]
ni bora ningejua mapema kama maisha yako wewe ni ya viwanjani
sio ufala, ulinizuga sana kwamba wewe huna hizo ni wa getini
mchana unakuja home mitandio kichwani
usiku ndo sikuoni
k~mbe mwenzangu mimi kiwanja kinondoni kwa macheni hamjui nani!
usiwaone tu machoni, pia kuna wengine mazugoni maofisini
k~mbe nao hao (kuwa nao)
k~mbe nao hao (cheka nao)
k~mbe nao hao

[chorus: matonya]
k~mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe na
k~mbe taxi bubu mchana namba za nyano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe na

[verse: 4 ~ matonya]
muamini akuamini, umvike madini
mkale kiapo mpaka mwaf~kiwa aridhini
sio kichochoroni, kavu kavu mdomoni
kakudanganya kuwa anaishi getini
hupatikana hata mitaani ukimwi
usimuamini kwa k~muona kwa macho

[chorus: matonya]
k~mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe
k~mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...