lirik lagu matonya - mule mule
hayaa…!!
“abidady”
anaye nimalizaga leo amerudi tena
kwa mikwara mingi tena yu ndani ya bima
wallah tonya mbili kwake maneno mi sina
amenishika roho, mwili mpaka hekima
hivi vipesa karatasi hasara roho mama
tuna tegana pwani huku kiunoni shanga
anasema nipe kiti, asha pigwa na baridi
yule kule msaliti, hataki kuona roho juu kabisaa
mulemule… unaniwezaga
mule… mi nachoka kabisa
mulemule… unaniwezaga
mule… mi nachoka kabisa
mulemule… unaniwezaga
mule… mi nachoka kabisa
mulemule… unaniwezaga
mule… mi nachoka kabisa
unainua chako kiuno.”alikupa mama”
ongeza kidogo miguno.”we mwana lala”
vitundu fulani vya dunia
usinipe mbuzi kwenye gunia
tena lijali mi kitandani.oo “babu amenifunza”
mengi maneno naweka kandoo.”ndiyo maana nawa puuza”
umefinyangwa muda gani wеwee.?
au kwa udongo wa pwani wewee.?
tayarisha mafuta ya karafuu
uje kunichua na miguu
kiza kidoga si nguru, ugali na pande la nguru
mulеmule… unaniwezaga
mule… mi nachoka kabisa
mulemule… unaniwezaga
mule… mi nachoka kabisa
mulemule… unaniwezaga
mule… mi nachoka kabisa
mulemule… unaniwezaga
mule… mi nachoka kabisa
my sweetie pipi sio ya kila mmoja
mchezo ya kweli na dhifu watangoja
kibarua yalisha utanisi ya kwajili yao
nikaona sitak~mbacha mswala upitao
yaliopita si ndwele my honey
katareo kakufunza nani?
mateso mateso na mimi
ukiniita nmekuja
tena bila shanga kiunoni
mguuni umeifungwa
hivi vipesa karatasi hasara roho mama
tuna tegana pwani huku kiunoni shanga
anasema nipe kiti, asha pigwa na baridi
yule kule msaliti, hataki kuona roho juu kabisaa
mulemule… unaniwezaga
mule… mi nachoka kabisa
mulemule… unaniwezaga
mule… mi nachoka kabisa
mulemule… unaniwezaga
mule… mi nachoka kabisa
mulemule… unaniwezaga
mule… mi nachoka kabisa
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu goos1k - сантиметр овоща (centimetre of vegetable)
- lirik lagu carbellion - listen for ghosts
- lirik lagu al duvall - tea with lady drake
- lirik lagu aeroscreamer - red summer nights
- lirik lagu $ierra (pol) - af1
- lirik lagu ryzmusic - psychopath
- lirik lagu tha god fahim - new devils
- lirik lagu marco fracasia - lezione
- lirik lagu overrated - lonely
- lirik lagu eiburie - birds