lirik lagu masterland - ndagufuhira
ndagufuhira lyrics
kuna wengine
hawataki kuona furaha yako
na saa zingine
wanataka kuona kilio cako
wanatamani kipenzi uanguke
wacheke
la moyoni penzi langu mi na we
livunjikee
pre chorus
so would you let me kiss you
let me kiss you so tender
would let me tickle you so that you laugh and laugh
chorus
kama aungekua w~ngu
kama usingekua w~ngu
mba nkubona nkagufuhira, mba ngufuhira
mba nkubona nkagufuhira, mba ngufuhira
verse 2
umeniponya machozi ya moyo
kwako nilisha tuliya
upweke uzuni moyoni
vilio vyote umenivutiya
sina wasi wasi ndani ya nafsi kwa sababu niko nawe
wala mitikasi
majonzi basi
baby furaha yangu ni wewe
pre chorus
so would let me kiss you
let me kiss you so tender
like i give you bath
would you let me tickle you so that, you laugh and laugh
chorus
kama aungekua w~ngu
kama usingekua w~ngu
mba nkubona nkagufuhira, mba ngufuhira
mba nkubona nkagufuhira, mba ngufuhira
bridge
wanasema saana
usijali ama na izo lawama
mi nakupenda saana
mi nawe tutafana daima
wanasema saana
usijali ama na izo lawama
nakupenda saana
hook
oooooh oooohhhh,….
chorus
kama aungekua w~ngu
kama usingekua w~ngu
mba nkubona nkagufuhira, mba ngufuhira
mba nkubona nkagufuhira, mba ngufuhira
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu milkk - gunshots
- lirik lagu josh dionisio - hard
- lirik lagu rob markman - hol' up
- lirik lagu jason lee - sax in the city
- lirik lagu self savior $ - gtfoo
- lirik lagu katrīna kreile - out of luck
- lirik lagu tynisha keli - two can play that game
- lirik lagu em beihold - blink of an eye
- lirik lagu 17 letters - backstreets
- lirik lagu sensey (cz) - pamatuju