lirik lagu marioo - yale
navyojua kuteleza wa sio kuanguka
nawe mwanadamu hujatimia utakosaje kuyumba
wanajua umeniweza kwako siwezi furukuta
sikutamani hii furaha wanione sikonayo
ndomana na mie sizifuati zayo nyayo
najivika ushujaa najivua jaka la roho
mana upweke na mie hatuwezani
naweka pata makosa yako yote nabonyeza na delete
ntajisumbua kuzunguka kote ila chunga usirudie
yale yalio niumiza yakafanya mpaka nikaugua
yale yalio niliza yaka fanya mpaka nikapungua
yale yalio niumiza yakafanya mpaka nikaugua
yale yalio niumizaga (mmh)
siunajua kwanza moja kipengele sana tu
mboga libwata ugali mbele shida kuzoea
mpaka aje kujua mi napendelea tembele ndo akanichumie
sio leo sio kesho shida kuzoea
mapenzi matamu amani ikiangazia na hasira kuvumilia
j~po ulimwaga damu na nikaugulia bado majeraha uje uniuguze
naweka pata makosa yako yote nabonyeza na delete
ntajisumbua kuzunguka kote ila chunga usirudie
yale yalio niumiza yakafanya mpaka nikaugua
yale yalio niliza yaka fanya mpaka nikapungua
yale yalio niumiza yakafanya mpaka nikaugua
yale yalio niumizaga (mmh)
moyo unakataa eti mi nawe tusiwe
tusikubali penzi liwake taa lituzimikie
naweka pata makosa yako yote nabonyeza na delete
ntajisumbua kuzunguka kote ila chunga usirudie
yale yalio niumiza yakafanya mpaka nikaugua
yale yalio niliza yaka fanya mpaka nikapungua
yale yalio niumiza yakafanya mpaka nikaugua
yale yalio niumizaga (mmh)
basi usiridie utaniumiza
yanichizi
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu o-zone - ciao bambina
- lirik lagu jianguar - il ballo del wockhardt
- lirik lagu anastasia skinny - noughties
- lirik lagu sarah mclachlan - loving you is easy (dave audé club mix)
- lirik lagu draviss - à qui ?
- lirik lagu young cloudd - остаюсь один (left alone)
- lirik lagu 7ucky vita - battleground feat. lyndsay evans of sexy ester
- lirik lagu trappaboi - elon
- lirik lagu marty wilde - pity me
- lirik lagu max&joy - lebwohl