lirik lagu marioo - wangu
[intro: marioo & harmonize]
yeah
yow, yow, (hehe)
(coughs)
bomboclaaa~, (hehe)
aah~ah
kutoka, haloo
[verse 1: marioo]
kama utani moyoni ameingia
na mi nimeshazama
tulikutana tiktok ndio mwanzo kufahamiana
mara ghafla, bin vu!
kila kitu tunaendana
ameninasa ka ulimbo
sitaki acha k~mtazama, weeh
[pre~chorus: marioo]
penzi mbona limenoga
tamu kuzidi hata soda
penzi mbona linamwagika
kama maji ya bomba
penzi mbona limenoga
tamu kuzidi hata soda
penzi mbona linamwagika
kama maji ya bomba
[chorus: marioo]
asa nataka wajue unanipenda ‘niite, “baby”
(baby w~ngu)
kwa wasio amini we ni w~ngu ‘niite, “my”
(my w~ngu)
hata ukiniposti caption andika “sweetie”
(sweetie w~ngu)
wakija kukutongoza waambie ‘mi na mpenzi, hey
(mpenzi w~ngu)
[bridge: harmonize]
mh~mh
uh…
konde boy call me number one
[verse 2: harmonize]
muombe mungu uzima
tatizo la mapenzi kanituma mimi
nikupe…
ni kupende
iwe madimbwi, milima
we fly any weather
wa ubani ndio mimi wa upendo
nikupe… (mh~mh)
ni kupende
muoga wa ku~cheat, ndio huwezi
ya uongo ndio kabisa siwezi
nalikizama unao tamba ni mwezi
nakuposti wajue sijiwezi baby
[hook 1: harmonize]
ona, penzi mbona limenoga
tamu kuzidi hata soda
penzi mbona linamwagika
kama maji ya bomba
penzi mbona limenoga
tamu kuzidi hata soda
penzi mbona linamwagika
(ah, doh)
kama maji ya bomba
[post~chorus: harmonize & marioo]
mi nataka wajue kama unanipenda ‘niite, “baby”
(baby w~ngu)
na kama ukiniposti snapchat ‘niite, “my”
(my w~ngu)
you’re my one and only, my love, my sweetie
(sweetie w~ngu)
wakija kukutongoza wajibu ‘wewe unaye mpenzi
(mpenzi w~ngu)
[outro: harmonize]
bomboclaaa~
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu yvng vei - blunt
- lirik lagu 800pts - #wakeuppopaflat
- lirik lagu lhangar
- lirik lagu maxime. - something ! anything !
- lirik lagu brave shores - dancing underwater
- lirik lagu jwupe zero - animal instinct
- lirik lagu эра_павших (era of the fallen) - bloodynight
- lirik lagu arcade - room with a view
- lirik lagu revo lekhak, akash raturi & aneesh salani - 7 mod paar
- lirik lagu mozzy & kalan.frfr - bbl