lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu marioo - my life

Loading...

wanasemaga nabii akubariki kwao (kwao)
hata mi walikuwepo wakunipa kitaani
walisemaga wahenga eti mtu kwao (kwao)
wachache walikuwepo wakaniamini kitaani
toka home mpaka studio kwa mguu
viwalo vipya kutupia sikukuu
nguo mbaya imepauka kuukuu
kula yangu anaijua alie juu
mungu akunyimi vyote
akikupa kilema atakupa na mwendo
sawa sijasoma kanipa kipaji ntimize malengo
never never never
never give up
never never never
never give up
never never never
never give up
never never never
never give up
ilikua kama movie ila tunaishi kwa love
wanaotukwamish~ga tunaona kama changamoto
leo imekua kama movie tunaishi kwa love
tunalipiana kila zaga ujana maji ya moyo
asante sana kwakunifanya superstar
leo najulikana kila kona ya mtaa
asante mama mwanao kipenzi cha watu
napendwa sana kona zote za mtaa
mungu akunyimi vyote
akikupa kilema atakupa na mwendo
sawa sijasoma kanipa kipaji ntimize malengo
never neve never
never give up
never never never
never give up
never never never
never give up
never never never
never give up


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...