lirik lagu marioo - mapenzi
sinyw~ngi mitungi
sivuti mafegi
eti iihhh
silagi mapepe
sina kilevi
chukua gari yangu kagonge kagonge
nitapeleka kwa fundi
itarudi mpyaa
chukua mali zangu zisombe zisombe
ila kwa bebi w~ngu
utarudi kibogoyo
ooh jamani naa viuu
napenda mapenzi
napenda kupendwa
ohh lalila lalaah
hata mkiskia
nimejinyonga
basi mjue
ye ameninyonga
mkiskia
nimejiua
basi mjue
ye ameniva
mapenzi
mapenzi
mapenzi
mapenzi
kama mapenzi ni pesa
basi sio shilingi
ya nani
ya nani
kama mapenzi shoo kali
afu sio kitandani
asa mapenzi ndio nini
na mbona nayapenda
hakuna raha hakuna raha
kama kuliliwa na mpenzi
kimapenzi nyie
ooh jamani nina viuuu
napenda mapenzi
napenda kupendwa
ohh lalila lalaah
hata mkiskia
nimejinyonga
basi mjue
ye ameninyonga
mkiskia
nimejiua
basi mjue
ye ameniva
mapenzi
mapenzi
mapenzi
mapenzi
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu hidelxver, lydskadi - teen
- lirik lagu java boy mr2k - devil
- lirik lagu 1altr - hold you close
- lirik lagu antvgnst - hell n' back (feat. kino rose & lostk)
- lirik lagu og deko - born to struggle
- lirik lagu unavantaluna - a virrinedda
- lirik lagu alexander köberlein - fliegen
- lirik lagu joao band - tide
- lirik lagu r.j. roze - trapped
- lirik lagu dqfrmdao - glocks out