lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu marioo - dunia

Loading...

[intro]
kutoka alo oooooh… hum bad…

[verse 1]
unapenda pam pam pam nipe pem pem pem
unapenda pam pam pam utatoa pem pem pem
usipende kule kule eeh utauponza
utauponza moyo ooh utauponza
unapenda mishangazi ngazi utauwawa
utauwawa bureee utauwawa

[pre chorus]
tazama anataka ukikukupa atakupa
punguza pupa ukichupa usi tupe chooni
utamu unakuja unakata
unakuja unaka taa

[chorus]
dunia tamu (eeeh) muniache (aah)
dunia tamu (eeeh) muniache (aah)
dunia tamu (eeeh) muniache (aah)
dunia tamu (eeeh) muniache (aah)

[verse 2]
shii uzuri mzuri ri shape ~n~lo lo
tamu haswaa ila za ndani ana umeme
ananukia uturi ri pesa anazo zo
nyingi haswa ila za ndani ana umeme
oyaa usiompenda kaja ita kiriku ita kibajaji
hamsheni viragoo oooooh
[pre chorus]
na kama anataka kukupa atakupa
punguza pupa ukichupa usi tupe chooni
utamu unakuja unakata
unakuja unaka taaa

[chorus]
dunia tamu (eeeh) muniache (aah)
dunia tamu (eeeh) muniache (aah)
dunia tamu (eeeh) muniache (aah)
dunia tamu (eeeh) muniache (aah)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...