lirik lagu manasseh shalom - ngwatila
chai!
[verse 1]
siku moja nita~angaa
nivuke kwenye milima
maisha haya yataomoka
shida ziongezeke
[chorus]
lakini n’takuwa na wewe
nipambane na wewe
asubuhi tufike na wewe
ngwatila
mwendwa kwatila
ndukadie ngwatila
asubuhi tufike na wewe
[verse 2]
marafiki walitudharau
baby tutawasili
hawakujua
kwamba maisha
maisha ni mviringo
masengeny’o tumewachia
ambao hawana utu
kazi tutachapa
mikono itoe moshi
siogopi aibu
[bridge]
‘sababu n’takuwa na wewe
stay with me
tufike na wewe
shikilia na mimi
one day we will make it
[verse 3]
mola nikifika naomba nisiringe
niwe fahari ya nyumba ya baba yangu
niweke kiboko nikiwadharau
wanaopanda mbegu
mola nikifika naomba nisiringe
niwe fahari ya nyumba ya baba yangu
niweke kiboko nikiwadharau
wanaopanda mbegu
[chorus]
naomba niwе na wewe
uuh! nifike na wеwe
nipambane na wewe
maisha n’malize na wewe (na wewe)
niwe na wewe
nifike na wewe
nipambane na wewe
maisha n’malize na wewe
ngwatile
mwiai ngwatile
ndukandie ngwatile, ngwatile
maisha n’malize na wewe
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu vök - something bad
- lirik lagu s4brina - panic
- lirik lagu manu cubedo borsky - eboluzion
- lirik lagu yungpalma, terminal - 3 days 2 days
- lirik lagu 南拳妈妈 (nán quán māmā) - 下雨天 (xia yu tian)
- lirik lagu yas - sarkob
- lirik lagu yungsublime - between us
- lirik lagu stevie bill - poison
- lirik lagu babysuave - i got aim!
- lirik lagu laibach - the future