lirik lagu manasseh shalom - fahari ya kenya
[verse 1]
msichana wa kenya
je unajua
uliumbwa ukaumbika
beauty and strength
your worth is endless
when i saw you walking down the street
i remembered
mighty syokimau
and the heroes of old
wakitabasamu
stronger than ever
msichana wa kenya
[chorus]
cheza kama wewe
dunia twakungoja (twakungoja)
ewe malkia wakati wako umefika (wakati wako umefika)
[verse 2]
some say god is a woman
we say you’re our pride
african jewel
the curls on your hair
and beads on your waist
i can hear heritage say
when i see you
walking down the street
your smile
striking down the sun
african woman
asante sana
for redifining
kipi kirembo
msichana wa kenya
[chorus]
cheza kama wewe
dunia twakungoja
ewe malkia wakati wako umefika
[]
nishike mkono
ingia tukuone
na mimi rafiki
nitakulinda
fahari ya kenya
twende (yelele yelele yelele)
wewe ndiye
fahari ya kenya (yelele yelele yelele)
w~ngari maathai (ya kenya)
mwende (kenya)
chebet (kenya)
jina lako ni
fahari ya kenya
julieta (ya kenya)
wairimu (kenya)
[outro]
cheza kama wewe
dunia twakungoja
ewe malkia
wakati wako umefika
ewe
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu aorlhac - aldérica
- lirik lagu styles p & havoc - move how we wanna
- lirik lagu squidji - (la drague)
- lirik lagu do not resurrect - a cold day in hell
- lirik lagu o side mafia - go getta
- lirik lagu cusek - je sais pas faire de son
- lirik lagu proovy - исход один (interlude)
- lirik lagu chaos z - 1981
- lirik lagu jone$ grifa & glorykeyz. - chance
- lirik lagu matteo bocelli - happy xmas (war is over)