lirik lagu malika - nataka dolla
nasahau ziletazo, ziletazo, ziletazo, kusihi moyo w-ngu
nasahau ziletazo, ziletazo, ziletazo, kusihi moyo w-ngu
wataraji maelezo, niseme ridhaa yangu
wataraji maelezo, niseme ridhaa yangu
wataka kunipa tuzo, kupoza hasira zangu
wataka kunipa tuzo, kupoza hasira zangu
kupoza hasira zangu
chorus:
nataka dolla, nataka paundi, naitaka dinar
nataka dushman, amadhara amar am yal uman
waniomba kuridhika, kuridhika, kuridhika, iliniwe furahani
waniomba kuridhika, kuridhika, kuridhika, iliniwe furahani
nipate funasihika, nakusihi iwathekani
nipate funasihika, nakusihi iwathekani
niseme ninachotaka, kunipa hutonikhini
niseme ninachotaka, kunipa hutonikhini
kunipa hutonikhini
(chorus)
kwa ulicho nitendea, nitendea, nitendea cha mamu dhiko kitendo
kwa ulicho nitendea, nitendea, nitendea cha mamu dhiko kitendo
wataka nisafi nia moyoni ishe mivundo
wataka nisafi nia moyoni ishe mivundo
ridhaa kuniletea na saha ya langu pendo
ridhaa kuniletea na saha ya langu pendo
na saha ya langu pendo
(chorus)
nitaguwe nipendacho, nipendacho, nipendacho tatuzo ilo jamini
nitaguwe nipendacho, nipendacho, nipendacho tatuzo ilo jamini
niseme nikitakacho, kunipa umekubali
niseme nikitakacho, kunipa umekubali
sina zaidi ya hicho iwapo wanipa kweli
sina zaidi ya hicho iwapo wanipa kweli
iwapo wanipa kweli
(chorus)
kwa hayo yaloniudhi, yaloniudhi, yaloniudhi twaomba ninasihike
kwa hayo yaloniudhi, yaloniudhi, yaloniudhi twaomba ninasihike
ni hicho cha kuniridhi, na fusi ifurahike
ni hicho cha kuniridhi, na fusi ifurahike
moyo w-ngu uwe radhi, hasira zimalizike
moyo w-ngu uwe radhi, hasira zimalizike
hasira zimalizike
(chorus)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu glee - call me maybe
- lirik lagu ash farizi - goodnight
- lirik lagu cash out - m o e
- lirik lagu the cataracs - alcohol remix
- lirik lagu the cataracs - missed u 2
- lirik lagu district 19 - for the nineteen
- lirik lagu t a c - barkadang tunay
- lirik lagu esben and the witch - iceland spar
- lirik lagu dreke hunna - she ain't a hoe
- lirik lagu veronica falls - falling out