lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu maganga - kama mbaya ni mbaya

Loading...

kama mbaya ni mbaya nasaka ganji nifike ulaya
hustle haitakangi haya kama ni janta naichapa vibaya
cheki me ni live wire shika gathee uchomeke na faya
kukafunga ndio desire alafu machedda ni kuziacquire
me narhyme ka daily kama nonini na sina shillingi
lakini nafeel amazing haki ni yangu na sio ya wizi
journey sio siku mbili w~ngapi waliacha juu sio rahisi
tulia buda tu kiasi tukusahau ka we ni kamisi
me nasakanya mathao kadhaa brown ka ugali ya wimbi
me naskia ubao na si ya kiroma ni kuwa tajiri
ukweli haufichiki uchi ni kama upepo ukiwa kwa nduthi
mbele wanaona vumbi nikiwabully na me ni wa juzi
ati dunia ni umbo yaani ni circle na life ni fumbo
kila mtu anaskanya yake kidogo na pia ya tumbo
saka share kwa meza ama utabaki umeosha vyombo
i mean saka ma chedda ama utabaki umekula za ovyo
maswali najiuliza ni lini na mimi nitafika mitambo
anxiety inanimaliza ni lini na mimi nitafika ng′ambo
kitu dunia imenifunza mother nature ndio mama wa kambo
so daily me najituma kusaka hio bug ndio me nisifumble
kama mbaya ni mbaya nasaka ganji nifike ulaya
hustle haitakangi haya kama ni janta naichapa vibaya
cheki me ni live wire shika gathee uchomeke na faya
kukafunga ndio desire alafu machedda ni kuziacquire
kutafuta greener pastures
kuzisaka kila mwaka
decision zinakuwa smarter
na mimi n~z~di kuwaka
me sipendagi ma drama
me sitafuti lawama
nataka hio bread haraka
na kama ni b~tter nitapaka
perfect picture bila caption
runda kushika ka mansion
na grind buda sina option
kwa hivyo nani take caution
beat inashika wa mother
pia inabamba wa baba
hii ni ya wale vijana
huhustle usiku mchana
kama mbaya ni mbaya nasaka ganji nifike ulaya
hustle haitakangi haya kama ni janta naichapa vibaya
cheki me ni live wire shika gathee uchomeke na faya
kukafunga ndio desire alafu machedda ni kuziacquire

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...