lirik lagu mad ice - malaika
(intro)
uuwo uweeee… uwoo mama.
sema malaika… heya… nakupenda wee.
(chorus)
malaika nakupenda malaika
malaika nakupenda malaika
(verse 1)
nami nifanyeje
kijana mwenzio x 2
furaha moyoni napo kutia machoni
si utani angel kwako niko hoi x 2
nashindwa na mali mi sina wee
ningekuoa malaika x 2
(chorus)
malaika nakupenda malaika
malaika nakupenda malaika x 2
(verse 2)
kidege kukuwaza wee kidege
ohoo kidege kukuwaza wee kidege
usiku silali mawazo mengi darlin’
nawaza ningekua na hiyo mimali
nikakulipia mali nikawa nawe mwali
nadhani mambo mengi kw-ngu yange kua swari
nashindwa na mali mi sina wee
ningekuoa malaika x 2
(chorus)
malaika nakupenda malaika
malaika nakupenda malaika x 2
(verse 3)
pesa pesa zasumbua roho yangu
mi nasema pesa pesa…
zasumbua roho yangu
uzuri wako malaika
unanifanya nipagawe malaika
kila napokuona malaika…
nabaka nahangaika malaika wewe
ohoo owuooh
malaika… eeh nakupenda malaika
malaika… ooh nakupenda malaika wewe
malaika… heya nakupenda nakupenda wewe
malaika… nakupenda malaika
nakupenda wewe
nakupenda wewe
nakupenda wewe… til fade.
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu dance dance revolution - daikenkai
- lirik lagu david lasley - if i had my wish tonight
- lirik lagu elliott yamin - can't keep on loving you
- lirik lagu esmee denters - as
- lirik lagu evelyn champagne king - i'm in love
- lirik lagu eye to eye - nice girls
- lirik lagu firefall - staying with it
- lirik lagu get wet - just so lonely
- lirik lagu ghetts - don't phone me
- lirik lagu giggs - hollowman