lirik lagu mad g odeya - top shotta
ingine mwecheche, mwecheche, (mad ni g siku zote)
beat ni old na miristaa ni za new school
ingia kwa stage ni kaa nadive kwa swimming pool
rietisha madem bcoz mad g i’m so cool
kuwagongea hizo sekta niko fertile kama goon
top shotta, top shotta, top shotta wakiniona ni mambota
top shotta, top shotta, top shotta g hakuna kungoja
top shotta, top shotta, top shotta riba zangu ndio wanabonga
top shotta, top shotta, top shotta wakule bamba, wakule kopa
zing zong
big up kwanza jeshi ya wong
mi mrong
damu ni ya wakudumu
sikuizi nabonganga cash, kitambo ilikua sheng tezzo
kwa phonebook namba ya ghetto president
na majicha wananirank
ngori kaa shabaarank
who want the smoke, nakusho tunaeza skunk
ukifire mi nafire, dawa ya moto ni moto
top shotta nakuletea h~ll na mademon kama 30
n~z~command zinafollow
hii ni legend, kidogo ikue religion
on top of the table ni kaa team imebeba ligi
doba haziishi, doba bado ni mingi
top shotta, top shotta, top shotta wakiniona ni mambota
top shotta, top shotta, top shotta g hakuna kungoja
top shotta, top shotta, top shotta riba zangu ndio wanabonga
top shotta, top shotta, top shotta wakule bamba, wakule kopa
si kurahisi vile unadhani
ndio nifike hapa hujui nimepiga mboka gani
hujui nimemwaga sweat lita ngapi
kwa roadi nadai kuekelea nini kibuggati
kwa (? na ni kiriffle, automatic
wananisema, mimi bado napenya
(?) niliudhika walai kuskia umegenya
top shotta rest in paradise 21 gun salute
generali in my book
tenje ni one phonecall ka hushiki sipigi tena
nabanja once kaa huzaski sisemi tena
sirudii rudii sik gody tennor asapaa
top shotta, top shotta, top shotta wakiniona ni mambota
top shotta, top shotta, top shotta g hakuna kungoja
top shotta, top shotta, top shotta riba zangu ndio wanabonga
top shotta, top shotta, top shotta wakule bamba, wakule kopa
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu guwazny - face in flames
- lirik lagu sergio y estíbaliz - moliendo café
- lirik lagu the oh - slut wif nutz
- lirik lagu эра_павших (era_pavshikh) - wetslut
- lirik lagu the great crash - naughty postcards
- lirik lagu eternal idol - beyond the sun
- lirik lagu kal banx & sir - back it up
- lirik lagu garden home - ghost
- lirik lagu thai vg & b ray (vnm) - matrix
- lirik lagu lysithea - whatever this is