lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mackdizzo - my life

Loading...

i try to chenge my life
vinoxs record
mackdizzo
“i want to change all my life,”
“i want to change all my life,”
” i want to change all my life”
” i want to change all my life,”

nilijua niki gro up life itakua ezzy
sai niko mta nikupiga tu madili
umasikini sasa kw~ngu ndo umenivali bikini
hivi nilini nami nitakua tajiri
hama ndo uhai w~ngu umetekwa namajini
mahana kila niki ngangana naona nikama nafia majini
ama umasikini w~ngu nilipo fika mji
ivi mgu yuko wapi mimi hujiuliza maswali
baba na mama walianza kitambo kusali
hama badala yabaraka wao walipata na thambi
nahalie tulani hivi yuko wapi
alisha kufa ama yuko hai
nilini baba nae atamea kitambi
mahana akifunga tai inaka tu tambi
dunia itakuchekesha hatakama mwenyewe uchekeshangi
ndo mahana mimi hua nakash~gi
nilisha suk~ma palipa futa
ila sikujali mwendo bado natafuta
(hahahah) naona giza ila patakucha
(hahaha) bado natafuta mie

“i want to change all my life,”
“i want to change all my life,”
” i want to change all my life”
” i want to change all my life,”

lakini sitakata tama huku nitazidi kujikaza
familia tayari walisha tutenga
nilibakini nawazazi na wadogo w~ngu
nikik~mbukanga mimi hua nalia
(haii)
lakini haya nimaisha yana paswa kuvumilia
ndoto zangu nikama zulifungiwa mpaka
nairobi nao maisha nikung’ang’ana
ukianza wizi nao gerezani utajipata
ama mbinguni ukipatana na piter
haya nimaisha yote yatapita
mibado mdogo sifai kula sana
kila mta ukipita sim yangu sim yangu
wemama wacha ujinga
wacha kuni change navenye naka
“i want to change all my life,”
“i want to change all my life,”
” i want to change all my life”
” i want to change all my life,”

nilisha suk~ma palipa futa
ila sikujali mwendo bado natafuta
(hahahah) naona giza ila patakucha
(hahaha) bado natafuta mie

“i want to change all my life,”
“i want to change all my life,”
” i want to change all my life”
” i want to change all my life,”


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...