
lirik lagu mabantu - fala
[intro]
kiukweli siku hizi nikikuona najiona fala
ndo mimi nilikuwa nalia kisa wewe
nachekwa kisa wewe
[verse 1]
kama makosa makosa, yangerekebishwa
sisi ni wanadamu, makosa ni ibada, hatujakamilika
ila kuchoka kuchoka, nilishindwa vita
upendo pia kuisha ni ibada, vya nini kulazimisha
najipongeza kukuacha, ilikuwa ngumu k~meza
dharau na kufumania, nakuuliza unaniibu kingereza
ooh waiter, tena ongeza, leo najipongeza
si alisema k~mwacha sitoweza, leo imefika mwisho
[chorus]
kiukweli siku hizi nikikuona najiona fala
ndo mimi nilikuwa nalia kisa wewe
nachekwa kisa wewe
tena najicheka, najiona fala
ndo mimi nilikuwa nakuhonga, mbwa wewe
nalewa kisa wewe
kiukweli siku hizi nikikuona najiona fala
ndo mimi nilikuwa nalia kisa wewe
nachekwa kisa wewe
tena najicheka, najiona fala
ndo mimi nilikuwa nakuhonga, mbwa wewe
nalewa kisa wewe
[verse 2 : jay melody]
siku hizi wewe sio vitu vyangu
nina type zangu, viudambu dambu, vitu nyambu nyambu
uwe na mipaka bhana, usiniletee uvengu
kujicheatua halafu bila sababu
ooh my god, i feel alright now
toka nimeachana na wewe
my god, ooh, siku hizi nimenona
napata tu mahaba ya fungate
aaah aaah, nina vitu vyangu
nina type zangu, sio wewe kingwendu
[chorus]
kiukweli siku hizi nikikuona najiona fala
ndo mimi nilikuwa nalia kisa wewe
nachekwa kisa wewe
tena najicheka, najiona fala
ndo mimi nilikuwa nakuhonga, mbwa wewe
nalewa kisa wewe
kiukweli siku hizi nikikuona najiona fala
ndo mimi nilikuwa nalia kisa wewe
nachekwa kisa wewe
tena najicheka, najiona fala
ndo mimi nilikuwa nakuhonga, mbwa wewe
nalewa kisa wewe
[outro]
mh ganja ganja, zile zilikua ganja
pombe pombe, zile zilikua pombe
nish~gombana na wanangu kisa wewe
maskani sitokei kisa wewe
mabatani sitokei kisa wewe
sili kisa wewe sipendezi kisa wewe
kukuacha ilikua ngumu k~meza
mh ndani vibweka niongea naonekana nabweka
oh waiter tena ongeza, leo najipongeza
si alisema k~mwacha sitoweza
pepo imefika mwilsho
[chorus]
kiukweli siku hizi nikikuona najiona fala
ndo mimi nilikuwa nalia kisa wewe
nachekwa kisa wewe
tena najicheka, najiona fala
ndo mimi nilikuwa nakuhonga, mbwa wewe
nalewa kisa wewe
kiukweli siku hizi nikikuona najiona fala
ndo mimi nilikuwa nalia kisa wewe
nachekwa kisa wewe
tena najicheka, najiona fala
ndo mimi nilikuwa nakuhonga, mbwa wewe
nalewa kisa wewe
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu david fourth - let it sizzle
- lirik lagu keklolov - я шагаю (i am walking)
- lirik lagu sadzilla - buster cannon
- lirik lagu arash buana - life update
- lirik lagu miki jevremović - ako te nebo neće
- lirik lagu mariam shengelia - freedom
- lirik lagu questhood & spikes - bambambila
- lirik lagu saia (col) - mistica
- lirik lagu alisandra marie - end of us
- lirik lagu ja - what kolor of madness - ya - men