lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu wudz – shawty

Loading...

najua ushanimezea
but ni kitu nishazoea
so kabla ubonge juu ya ndoa
eti unataka kunioa
tulia kiasi
jipe nafasi
cuz mi ni ule boy rui
kuchezea mabinti kama toy
kina monica, w-ngeci na joy
si sh-r- akijipa manze enjoy
sijasema mi ni player but siko ready for love
ganji on daily basis
kupiga show for my fans
is my fancy plus
si unaelewa hii lifestyle venye iko na kiburi
waliojiachilia mapema saa hii wako kwa kaburi
waliogundua mapema saa hii ni rozari na zaburi
so please ka umenifeel for real subiri
labda kuna mazuri:

chorus;
shawty najua umefall nami
text kibao ngware hadi jioni
kuconfess vile wanitamani
eti life bila g hauoni x2

we ni msupa for sure
naeza kupeleka show
just to show you off
najua hujanipenda for doo
eti out kila saa na credo
mtoto mzuri hata nonini atatestify
hiyo smile, hizo eyes
mtoto shy
mwili moja wazimu
sauti tamu kwa simu
pia umechop
from ya gucci shoes to ya gucci top
kila kitu kinasema cl-ss
in my heart kwa kweli umepata gate p-ss
but naogopa kukutumia vibaya
kama mwanafunzi na kaya
kisha nikudump kama rubbish kando ya streets
ah ah, kabla unipe yo first kiss
pliz consider this:

sijui ulitoa wapi namba yangu ya simu
kunipigia saa sita usiku
niko like ‘nani huyu? nkt, wazimu’
siku ya pili friend request fb
twitter ushafollow me
siku ya tatu tuko club
uko na mahangre za kunishow love
kuniangalia ndani ya macho
ooops! k-mbe mtoto ni vajo
muda kidogo manzi yangu akatokea
haukushtuka, ulimgotea na kudisappear
still the following day
ulininvite kwa bash yako
kudance the night away
ulisema penzi lako si vako
naskia kuchanganyikiwa wewe
kama kawaida ningekuwa nishapita na wewe
but kuna kitu rohoni beiby
sijui ni nini but sina haraka na wewe
sina haraka na wewe

baby girl take it slow
wengi wamekam wamego
sitaki kukuvunja roho
kama wanipenda basi chill kidogo


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...