lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nyashinski – bebi bebi

Loading...

some say a fool never change his mind well maybe.
baby am fool for you
mapenzi kipofu kipenda maovu.

huoni ooh love is blind never seem so true when am
broke natumianga bro please call me akipiga naomba dooh…
mbona kuna message inajitumanga send me money tukate long
story short yoyooo vumilia na mm please don’t leave me.
don’t let money fool you.
sponsors just wanna use you…
namwambia mtoto wa mama hasiharibikeee ananishoo ni
biasharaa tuu na siwezi mshibishaa na
pangangaa tuuu na mwezi ukiisha sina ujanja too
na renti ikibishwa huanga blunder to.
bebi bebi bebi
kwani me wakati sina. leo sina kitu kesho ntafanikiwa
na nikibarikiwa ahadi yangu ni sitasahau pahali nimetoka na weh
bebi me wakati sina. leo sina kesho ntafanikiwa too
na nikibarikiwa ahadi yangu ni sitahau nilipotoka na weh
you’re my only one
girl i wanna,
girl i wanna take you to my mama show her you’re the one for me
i’ll never ever leave you believe
me when i say ull forever be my queen
yule nalala naye kwa dhiki ntalala naye kwanzaa faraja
ahadi yangu ndo hiyo
kama pamoja tumelia, tutacheka pamojaa
wou vumilia na mimi please don’t leave me
don’t let the money fool you
sponsors just wanna use you
mtoto wa mama usiharibike. bebi bebi


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...