lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu goldwash – why hide it

Loading...

ey ohooo ayoooo
nilianza kama moja pili nikusubili mama ahaa mi ndo taa umenizima mshumaa
usiku silaliii nawaza sarali usiku silaliii nisake sarali mama ahaa nilikwamini mw-nga gizani uwe na mimi tukiwa chumbani
nilikwamini mw-nga gizani uwe na mimi tukiwa chumbani mamaaa
ingali mapema ningetambua kwamba hiki sio chema nikagundua ingali mapema ningetambua kwamba hiki sio chema nikagundua
tena umezuka na utani et napungua kwa w-ngu majirani kisa umekimbia ayy unanipa mawazoo mama ohoo usiku silali unanijiaga ndotoni aahh nilikwamini mw-nga gizani uwe na mimi tukiwa chumbani
nilikwamini mw-nga gizani uwe na mimi tukiwa chumbani mamaaa
ingali mapema ningetambua kwamba hiki sio chema nikagundua ingali mapema ningetambua kwamba hiki sio chema nikagundua ingalimapema ningetambua kwaba hiki sio chema nikagundua


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...