lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu chege feat. diamond – waache waoane

Loading...

maji ya moto yamekua baridi,
hakim nimekua shahida,
nikijishusha mateso yan-z-di,

aloniliza ndo akunifariji,

waache waoane ×4

yamesibitisha macho,
lakini moyo unakataa,
nimeamini kikulacho,
ni yule unaona anaekufaa,
nilifumba mboni zangu,
kwa wengine nimuone yeye tu,
nikamwaga jasho langu,
j-po kidogo nile nae yeye tu,

mwambie awe huru wala sito lalamaa(aaaaaaa, aaaaaaa)

sitaki kukufuru wafunge ndoa salama (aaaaaa, aaaaaa)

waache waoane×4

anaepanga kugawanya uaga ni mungu baba,
katu siwezi kulalama ridhiki mafungo saba,
najitaidi sana wenda sik-mridhisha labda,
ila kinacho nchanganya akunambia kabla,

tena nakupa mauwa mpelekee,
wasije yatupa naomba wayapokeee,
na sunna ntafunga usiku niwaombee,
awape baraka muumba watoto awaletee, eeeaaaa.

waache waowane×4

maji ya moto yamekua baridi,
hakim nimekua shahida,
nikijishusha mateso yan-z-di,
aloniliza ndo akunifariji,

young zaka young zaka young zaka


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...