lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu aslay – mhudumu

Loading...

naamini we ni w-ngu mke w-ngu
nimemiss kukuona kw-ngu kipenzi changu
nitaficha wapi sura yangu

kwa walimwengu
we ndo msiri w-ngu kipenzi changu maiyo

chaguo langu ni wewe si unajua mamaa
ukiniacha mwenyewe utaniumbua sanaa
tulipotoka ni mbali si unajua mama eh
katikati ya safaei utaja niua bwanaa

wewe na mimi babe tuzikwe wote
nife uniokote nikuokote
sasa kwa nini unaruhusu nichekwe
mkono kaunyea mtoto usiukate

samahani waiter ongeza gl-ss
eh muhudumu ongeza gl-ss
mmhh samahani waiter ongeza gl-ss
eh muhudumu ongeza gl-ss

acha nilewe nilewe tuu
eh nilewe nilewe tu
acha nilewe nilewe tu
nilewe nilewe tuu

nimekuwa mchafu tangu uniache wewe
nakula kwa shida sababu napika mwenyewe
wananiita mkangafuu silali mpaka nilewe
fanya urudi babe nitakufa bure

kosa gani lisilo sameheka baby
niamini nimejirekebisha babe
jirani mama shani anavyokuk-mbuka baby
rudi nyumbani mumeo ninakuita baby

wewe na mimi babe tuzikwe wote
nife uniokote nikuokote
sasa kwanini unaruhusu nichekwe
mkono kaunyea mtoto usiukate

samahani waiter ongeza gl-ss
eh muhudumu ongeza gl-ss
samahani waiter ongeza gl-ss
eh muhudumu ongeza gl-ss

acha nilewe nilewe tuu
eh nilewe nilewe tu
acha nilewe nilewe tu
nilewe nilewe tuu
eh nilewe nilewe tu
acha nilewe nilewe tu
nilewe nilewe tuu


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...