lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu lucky lupin - kingpin

Loading...

eyooh
it′s boother
lupin budha

come on

oh my god it’s mesh

me ndio lupin
na mi ndo kingpin
me siwa juzi
naweza kustab hadi na pin
kwa hii realm ya drill
me ndo narule me ndio the king
na nkikudelete
me hua si recycle bin

so be ready
be ready for smoking flutes
hii wimbo imeweza
inapata more likes and views
cheki vile wanafollow
wanafollow like the jews
next day ntahit
utanipata kwa citizen news

dem anatry kua s~xy
anadaisha am so cute
sura inatisha
guess what, manuks
hope hataget depression
nimpate asha ji sue
nikam kwa keja kesho
nimpate in an endless snooze

mi ndio lupin
nami ndio kingpin
mi si wa juzi
naeza kustab hadi na pin
kwa hii realm ya drill
mi ndo narule mi ndo the king
na nkikudelete
mi huwa si recycle bin

mi sio rapper
lakini najua kuslap
mi sio trapper
lakini najua kutrap
mi sio tractor
lakini nishaku attract
drilling ndio the culture
in short my clan

me ndio lupin
na mi ndo kingpin
me siwa juzi
naweza kustab hadi na pin
kwa hii realm ya drill
me ndo narule me ndio the king
na nkikudelete
me hua si recycle bin

big up akina buru
wanakuanga mature fully
juu kuna sanze walibully
hao maboys ni mag~nius
hadi kushinda dem w~ngu julie
their new song mkiiona leo
manze mi niliona juzi

so be ready
be ready for smoking flutes
hii wimbo imeweza
inapata more likes and views
cheki vile wanafollow
wanafollow like the jews
next day ntahit
utanipata kwa citizen news

kama mkadinali
nilizoea
kutupiwa maneno
kwani mimi mbolea
walipenda kuchachia
walipenda kuchochea
hawaoni future naweza okolea
me ndo the sense master
me ndo the driller boother
me hubongesha hadi ukuta
ukinitoka bro utajuta
hapo utajua ya kwamba
me ndo the driller boother
hapo utatambua ya kwamba
me ndo the lupin boother

me ndio lupin
na mi ndo kingpin
me siwa juzi
naweza kustab hadi na pin
kwa hii realm ya drill
me ndo narule me ndio the king
na nkikudelete
me hua si recycle bin


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...