
lirik lagu lizone ntio - sawa
vyote ulivyoposti nili like nakukomenti, j~po moyo uliumia, moyo w~ngu uliumia
nikajikokota niketi masikini wakuchiti, huku bujibuji najivujia, machozi najivujia
huku ndani ndani moyo unalia
zile k~mbuk~mbu nawe, zikawa zanisuta nijiue
kweli haunijali wewe, unampenda mwengine nijishaue aah nijishaue
mara nikak~mbuka ndoto, tulikua na ndoto
minawe tupate watoto, wakwanza awe cynto
nikak~mbuka ndoto, tulikua na ndoto
mi nawe tupate watoto, wakwanza ndio cynto
j~po haitatimia
ni sawa (hata nisipopona)
ni sawa (aah moyo w~ngu)
ni sawa (hata uliumia)
ooh ni sawa (hata usipopenda)
ni sawa (moyo w~ngu)
ni sawa (aah jamani)
ni sawa (hata usipopona)
ni sawa
maumivu ya moyo w~ngu, sawa kuchomwa kisu cha moto
nikiitazama simu yangu, umempost caption wandoto
mwenzako bado najitazama, kisha namtazama, najiuliza nakosa nini, mpaka wewe hunithamini
ama kwake ndio salama, kw~ngu hakuna cha mana, hata kitanda changu chini, ndio mana hunithamini
mara nikak~mbuka ndoto, tulikua na ndoto, mi nawe tupate watoto, wakwanza awe cynto
nikak~mbuka ndoto, tulikua na ndoto, mi nawe tupate watoto, wakwanza awe cynto
j~po ndoto haitatimia
ni sawa(hata nisipopona)
ni sawa (aah moyo w~ngu)
ni sawa (j~po umeuvunja moyo w~ngu)
ni sawa (sidhani tena nitapenda)
ni sawa (maumivu ya moyo w~ngu)
ooh ni sawa (oooh)
ni sawa
aah ni sawa
(vyote ulivyoposti nili like nakukomenti, j~po moyo uliumia, moyo w~ngu uliumia)
thunder music open world
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu mike júnior ☠️ - eu tenho que parar (segunda versão)
- lirik lagu féni - destiny
- lirik lagu fill (bra) - obsessão
- lirik lagu charlot - after antwerp
- lirik lagu austin stone worship - revive my soul
- lirik lagu casa saturno - carnaval na saturno (part. fidelisx e dj 2f)
- lirik lagu celestial blood - eye of the butterfly
- lirik lagu coleman williams - all i need to know
- lirik lagu masicka & french montana - whites (remix)
- lirik lagu maël & jonas - up up up