lirik lagu linkyonwaves - hepa home
[intro]
thaibeats
[chorus: linkyonwaves]
msupa bila make~up
me nataka kuona uki wake~up
booty iko fine ebu shake~up
booty iko fine ebu shake~up
la~da~da
dada, leo hepa home
leo hepa home, leo hepa home
baas, leo hepa home
leo hepa home, leo hepa home
[verse 1: linkyonwaves]
hepa home mathe amedoz
ukifika kw~ngu me nataka nikudoz
we ni bad girl ama chocha
kuna lollipop utanyonya
zangu zimeshika
una haga bigi kama speaker
hepa home form imejipa
pewa ting hadi unawika
hakuna bad vibes hapa
take it easy
kata maji hadi ukuwe chizi
smoke, smoke shada kuwa high bana
hii ni beat balaa, ya maboys balaa
[chorus: linkyonwaves]
msupa bila make~up
me nataka kuona uki wake~up
booty iko fine ebu shake~up
booty iko fine ebu shake~up
la~da~da
dada, leo hepa home
leo hepa home, leo hepa home
baas, leo hepa home
leo hepa home, leo hepa home
[verse 3: j. craze]
katoto najua unataka more
lakini tetema hadi kwenye floor
mapenzi ni mengi tuta grow
mafisi watokwe hawatuoni ng’o
baby nimekuja kwako nime chizi chizi
tena sitahema sana nimepiga tizi
channel it, into you
feel so nice (ah, ah)
push it in, into you
feel so nice (ah, ah)
katoto najua unataka more
lakini tetema hadi kwenye floor
mapenzi ni mengi tuta grow
mafisi watokwe hawatuoni ng’o
[chorus: linkyonwaves]
msupa bila make~up
me nataka kuona uki wake~up
booty iko fine ebu shake~up
booty iko fine ebu shake~up
la~da~da
dada, leo hepa home
leo hepa home, leo hepa home
baas, leo hepa home
leo hepa home, leo hepa home
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu mns lowlife - childhood aggression
- lirik lagu sean hills - green screen dress
- lirik lagu pink phantom & asteria - leaving
- lirik lagu maicon ayres - canção dos peregrinos
- lirik lagu sweetboystoney - no front
- lirik lagu rich jacques - every time
- lirik lagu loser lover - crybaby
- lirik lagu temporary flight attendant - wet n’ wild
- lirik lagu wayne watson - lay them down
- lirik lagu almost blue - desaire