lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu lilpyynx - mbcity

Loading...

[intro]
pyynx hii ni very bad!
(mbcity tumefika market…)

[chorus]
mbcity tumefika market
tuna~ball na ma~grades tuko perfect
kuna success una~fill in the brackets
in the end tuna~end up being happy
unasleki napita no mercy
si ni wakali kuliko makasi
unasoma una~chop unaichapa kazi
una~joke una~joke unageuka mrazi

mbcity tumefika market
tuna~ball na ma~grades tuko perfect
kuna success una~fill in the brackets
in the end tuna~end up being happy
unasleki napita no mercy
si ni wakali kuliko makasi
unasoma una~chop unaichapa kazi
una~joke una~joke unageuka mrazi

[verse 1]
“una~fail una~bury the hatchet,” si huwa hatu~fail tunapeana chances
you talk when wе say nyi ni puppets bonga vibaya ujipate na crutches
, high school sijai ona harrasment
high school hakuna red carpet sote ni equal hakuna mtu perfect
[verse 2]

zabe ya rincy makapa hunyesha school renovation alileta
ye hukuwa best friends na m~pesa so educated ye hutupa lectures
we ni rincy one of a kind as you live on your life we jua tunakupenda

[verse 3]
kwach, jaduor, okoth, ye ndio mastermind wa masomo
kukuwa number one all kenya si mchezo ni ka alitushindia lotto
harry g aka~come kueneza, m. b. r. m. b. t. kuendeleza
k. c. s. e. kupita sio pressure 9.5 kufika sio pressure

[chorus]
mbcity tumefika market
tuna~ball na ma~grades tuko perfect
kuna success una~fill in the brackets
in the end tuna~end up being happy
unasleki napita no mercy
si ni wakali kuliko makasi
unasoma una~chop unaichapa kazi
una~joke una~joke unageuka mrazi

mbcity tumefika market
tuna~ball na ma~grades tuko perfect
kuna success una~fill in the brackets
in the end tuna~end up being happy
unasleki napita no mercy
si ni wakali kuliko makasi
unasoma una~chop unaichapa kazi
una~joke una~joke unageuka mrazi (unageuka mrazi!)
[outro]
pyynx hii ni very bad!


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...